PICHA YA FEITOTO INAYOTREND MTANDAONI…YANGA YAONYWA
BAADA ya Klabu ya Yanga kutwaa taji lao la 3 mfululizo, Kombe la Shirikisho la CRDB waliposti picha kwenye Ukurasa wao wa Klabu upande...
SIMON MSUVA ATUA DAR USIKU…KISA TAIFA STARS…KIBU DENIS AKATAA KWENDA MAREKANI
Mshambuliaji wa Simba Kibu Denis ameonesha uzalendo mkubwa sana kwa kusitisha safari yake ya kwenda Marekani kwaajili ya mapumziko ya mwisho wa msimu, hii...
ENG HERSI HAPOI…USAJILI WA MSIMU HUU…NI KUFURU
RAIS wa Yanga na Mwenyekiti wa Vilabu vyote barani Afrika Eng Hersi Said, hataki kupoa hata kidogo, ni baada ya kutoboa siri ya klabu...
DILI LA CHAMA YANGA LIPO HIVI….WINGA SIMBA ANUKIA SAUZI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumatatu ya 3/6/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL
KIFAA ALICHOPATIWA DIARRA CHAWAPA YANGA UBINGWA.. UBINGWA MARA 4 MFULULIZO.
Mechi ya kisasi imeisha kwa Yanga kutwaa ubingwa wa 4 mfululizo, baada ya kuwafunga Azam FC kwa mikwaju ya penati 5-6, huku mlinda mlango...
FAINALI YA FA AZAM FC VS YANGA, KIPINDI CHA KWANZA…YANGA ANASHAMBULIA SANA
Mechi dume, unaweza kusema ni fainali bora kwa dakika 45, za kwanza zimetamatika bila kwa ubao kusoma 0-0, si Azam FC wala si Yanga...
CHEZA SLOTI YA STICKY 777 USHINDE X1000 YA DAU LAKO|KASINO INALIPA….
Sloti ya Sticky 777 inasifika kwa urahisi wake wa kucheza na washindi kila dakika, ni mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotawaliwa na alama nyingi...
YANGA YAZIPIKU SIMBA, AZAM FC UPIGAJI MASHUTI…YASUBIRI TUZO ZA TFF
KLABU ya Yanga msimu wa 2023/24 umekuwa mzuri sana kwa upande wao baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa 30 wa Ligi Kuu, huku ikiweka...
FEITOTO YUKO TAYARI KWENDA SIMBA…ANAWASIKILIZA VIONGOZI
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto, amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata...
SABABU 4…KWANINI FAINALI YA LEO…NI VITA YA KISASI?
WATU wengi wanasema na wengine kusikia tu hii ni fainali ya kisasi kwa timu zote mbili Yanga SC na Azam FC, lakini hawajui sababu...