HIKI HAPA KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION
Kikosi cha Azam FC leo dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku.
ISHU YA BILIONI 20 ZA MO NA KINGWANGALLA IMEFIKIA HAPA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amesema hana tofauti wala chuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ...
YANGA: TUMEWEKA REKODI YA KIPEKEE, WAPIGAJI DAWA YAO IPO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umeweza kuweka rekodi ya kuzindua jezi mpya pamoja na duka la vifaa ndani ya makao makuu ya timu hiyo...
SHIBOUB AKUNJA MKWANJA WA MAANA KWA WAARABU
SHARAF Shiboub kiungo wa zamani wa Simba ambaye ametwaa mataji matatu msimu wake wa kwanza wa 2020/21 atakipiga ndani ya Klabu ya CS Costantine...
EDEN HAZARD AWACHANGANYA REAL MADRID
REAL Madrid, wameongeza wasiwasi kuhusu uimara wa nyota wao Eden Hazard kutokana na kushindwa kuwa fiti kuitumikia timu yake ya Taifa ya Ubelgiji licha...
AZAM FC KAMILI GADO KUMALIZANA NA COASTAL UNION
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo Septemba 11 wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union...
UKIMFUATILIA MO DEWJI UPANDE HUU, UTAGUNDUA JAMBO TOFAUTI
Na Saleh Ally KUKOSOLEWA ni sehemu ya maisha ya mwanadamu ambaye anaishi akiwa amezungukwa na wanadamu ambao kawaida yao ni kuwa na mawazo tofauti. Wanadamu...
KAULI YA MZAHA YA MANARA INAYOFANANA NA ILE YA KIUFUNDI YA KOCHA YANGA
NA SALEH ALLYHAJI Manara huonekana ni mtu mwenye utani wakati wote, hii inatokana na yale maneno yake ya shombo katika mitandao ya kijamii au...
MUONEKANO WA DUKA JIPYA LA YANGA PAMOJA NA UZI MPYA 2020/21
LEO Septemba 11, Yanga wanazindua jezi mpya na duka la kuuzia jezi makao makuu.Huu hapa muonekano wa uzi mpya wa Yanga pamoja na duka...