KIUNGO MUANGOLA RASMI ATUA BONGO KUMALIZANA NA YANGA

0
 KIUNGO, nyota kutoka Angola, Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo Carlinhos, leo Agosti 25 ametia timu Bongo kwa ajili ya kumalizana na mabosi wa...

BREAKING:AZAM FC YAMALIZANA NA MAKOCHA WATATU

0
 UONGOZI wa Azam FC, leo Agosti 25 umemalizana na makocha wake watatu wanaounda benchi la ufundi kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi...

YANGA: AGOSTI 30 TUNA JAMBO LETU, KONDE BOY NAYE NDANI

0
 HAMAD Seneda, maarufu kama Madee ambaye ni shabiki wa Yanga amesema kuwa haamini kama Agosti 30 kuna mtu atabaki nyumbani na kushindwa kutokea Uwanja...

NYOTA WA BRAZIL AMPA TANO BWALYA

0
KIUNGO wa Simba, Gerson Fraga Vieira raia wa Brazil amesema kuwa usajili wa kiungo mpya, Larry Bwalya kutokea Klabu ya Lusaka Dynamos ya nchini...

KMC YAMALIZANA NA NYOTA 10, YAMCHOMOA MMOJA YANGA, WENGINE AZAM FC

0
 KMC FC leo Agosti 25 imekamilisha usajili wa golikipa kutoka Mbao FC, Raheem Sheikh kwa mkataba wa miaka miwili. Nyota huyo mikono mia anaungana...

WIKI YA WANANCHI YAPAMBA MOTO, TIMU YA BURUNDI NDANI YA BONGO

0
 KLABU ya Yanga, imeanza sherehe zao kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo uzinduzi ulifanyika rasmi jijini Dodoma Agosti 22 na kuhudhuriwa na viongozi...

MANCHESTER UNITED YAINGIA ANGA ZA BARCELONA

0
MANCHESTER United ipo tayari kulipa pauni milioni 153 kupata saini ya nyota kinda wa Barcelona, Ansu Fati ili ajiunge na kikosi hicho.Ripoti zinaeleza kuwa...

YANGA YATUMIA BILIONI KUSUKA KIKOSI NAMNA HII,WAIPOTEZA SIMBA MAZIMA

0
 IMEFAHAMIKA kuwa wadhamini wa Yanga ambao ni Kampuni ya GSM, wametumia gharama kubwa kwenye usajili katika msimu huu kwa kutumia kitita cha Sh bilioni...

SIMBA: YANGA ITAKUTANA NA BALAA LA BWALYA

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga ambayo inatarajiwa kupigwa Oktoba 18, Uwanja wa Mkapa imepangwa...

AZAM FC YAFUNGA KAZI NA MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA

0
 ALAIN Thiery kutoka nchini Cameroon ni funga kazi ndani ya Azam FC akisaini dili la miaka miwili. Leo Agosti 24 ametambulishwa ndani ya Klabu...