MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU AIPA TUZO GLOBAL GROUP

0
 MAKAMU wa Rais,  Samia Suluhu,  ameikabidhi Kampuni ya Global Publishers Tuzo kutoka Benki ya CRDB Agosti 16, 2020, ikiwa ni shukrani ya kuthamini mchango...

IHEFU KUFUNGUA PAZIA NA SIMBA,TANO ZA MWANZO HIZI HAPA KWA SIMBA

0
HIZI hapa mechi tano za mwanzo kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba msimu wa 2020/21:-  Ihefu FC vs Simba SC, Septemba 6,...

BREAKING:YANGA YAMALIZANA NA MASHINE MBILI ZA KAZI RASMI

0
 TUNOMBE Mukoko mshambuliaji wa zamani wa AS Vita ya Congo amemalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili. Nyota huyo anaungana na kiungo mwenzake...

AZAM YAMALIZANA NA MTUPIAJI KUTOKA ZIMBABWE

0
 Azam FC leo Agosti 17 imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube, kutoka Highlanders  FC. Dube ni mmoja ya washambuliaji wa...

NYOTA WAPYA SIMBA WAANZA MATIZI, MORRISON KAMA KAWAIDA HAISHIWI JAMBO

0
 KIKOSI cha Simba leo Agosti 17 kimeanza maandalizi kwa ajili ya Ligi Kuu Bara pamoja na mechi yao ya siku ya Simba day inayotarajiwa...

YANGA YAMALIZANA NA KISINDA WA AS VITA

0
  TAARIFA za uhakika zinaeleza kuwa Yanga imemaliza na AS Vita na kumsajili mshambuliaji kinda wa AS Vita ya DRC, Tuisila Kisinda.Shughuli hiyo imefanyika jijini...

HAYA HAPA MAJEMBE SABA YA KAZI AMBAYO YAMEMALIZANA NA YANGA

0
 KLABU ya Yanga kwa sasa kwenye dirisha la usajili lililofunguliwa Agosti Mosi na linatarajiwa kufungwa Agosti 31 wameshamalizana na majembe saba ya ndani kwa...

MECHI ZA AWALI NDANI YA LIGI KUU BARA KUANZIA SEPTEMBA 6

0
 Mechi za kwanza za Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 Septemba 6Namungo vs Coastal - Majaliwa, LindiBiashara vs Gwambina - Karume, MaraIhefu Vs Simba...

NAMUNGO FC YAMALIZANA NA WINGA MATATA KUTOKA AZAM FC

0
 LEO Agosti 17, Winga Idd Kipagwile ametambulishwa ndani ya Klabu ya Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery.Kipagwile amesaini dili la mwaka mmoja...

ISHU YA USAJILI, YOUTUBE HAKUNA MCHEZAJI MBAYA, TIMU ZA BONGO ZIBADILIKE

0
 DIRISHA kubwa la usajili linaendelea kushika kasi kwa sasa kila timu inataka kusajili fastafasta ili imalize ndani ya muda yaani ikifika saa 5:59 usiku...