UZI MPYA WA AZAM FC ACHA KABISA,AGOSTI 23 KILELE CHA AZAM FESTIVAL
Uzi mpya rangi nyeupe wa Azam FC ambao utatumika msimu wa 2020/21 kwa mechi za nyumbani pia upo wa bluu ambao utatumika kwenye mechi...
HILI HAPA JESHI KAMILI LA SIMBA,MAJEMBE MAPYA SABA NDANI
Kikosi kamili cha Simba MakipaAishi Manula Beno kakolanya Ali Salim Mabeki wa kuliaShomari Kapombe David kameta ingizo jipya kutoka LipuliMabeki wa kushotoMohamed Hussein Gadiel Michael Mabeki wa katiErasto Nyoni Paschal Wawa Joash...
BOSI GSM AFUATA VIFAA CONGO,SIMBA WANA JAMBO LAO,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
ONYANGO: KAHATA KANILETA SIMBA SC
KITASA kipya cha Simba, Joash Onyango raia wa Kenya, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Francis Kahata ndiye aliyemleta klabuni hapo kutokana na...
NONGA ARUDISHA MKWANJA NAMUNGO
PAUL Nonga, nyota mpya wa Gwambina FC inayonolewa na Fulgence Novatus, ilimlazimu arudishe nauli kwa mabosi wa Namungo ambao walikuwa wanahitaji saini yake. Nyota huyo...
BREAKING: MUGALO ATUA SIMBA AKITOKEA POWER DYNAMO YA ZAMBIA
CRIS Mugalo mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia, leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Simba.Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili...
HAJI MANARA ATANGAZA KUSTAAFU, “NIPO SIMBA ILA NITAPUMZIKA KIDOGO “…
KLABU ya soka ya Simba, leo Agosti 16, wamefanya dua maalumu ya kuombea timu yao baada ya kuwa na msimu wenye mafanikio makubwa...
KOCHA MKUU WA SIMBA ATUA NCHINI LEO
Sven Vandenbroeck Kocha Mkuu wa Simba ndani ya ardhi ya Bongo Agosti 16 kuendelea kukinoa kikosi hicho.Kocha huyo raia wa Ubelgiji msimu wa 2019/20...
IBRAHIM AME ATAMBULISHWA SIMBA, ASAINI MIAKA MIWILI
IBRAHIM Ame beki aliyekuwa akikipiga Coastal Union leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Klabu ya Simba.Ame amesaini dili la miaka miwili kuongeza nguvu ndani...
UZI MPYA WA AZAM FC HUU HAPA
AZAM FC leo Agosti 16 wamezindua uzi wao mpya kwa ajili ya msimu wa 2020/21. Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka...