KUHUSU SIMBA KUBORONGA MSIMU HUU….RAGE KAIBUKA NA HILI JIPYA..AITAJA YANGA NA MGUNDA..
Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Simba, Mzee Ismail Aden Rage wameshauri viongozi wa timu hiyo kutohangaika na kuleta Kocha mpya wa kigeni, badala...
YANGA KULAMBA BIL 1 YA ZAWADI ZA UBINGWA TU…SIMBA., AZAM MHHHH…..
Baada ya Ligi Tanzania Bara 2023/24 kumalizika jana Mei 28, Hiki ndicho kiasi cha pesa watakavyopata Vilabu vyote 16 vilivyoshiriki Ligi Kuu Msimu 2023/24.
Fedha...
AHMED ALLY:-HAKUNA SABABU YA KUTAFUTA MCHAWI ….SIMBA ILIBAKI KIDOGO TU ISHUKE DARAJA..
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema si vibaya kwa Wana-Simba kujikumbusha kukumbukumbu mbaya lakini wakati mwingine ni vyema kufanya...
KUHUSU TIMU KUFANYA VIBAYA…MANGUNGU APATA WA KUMTETEA SIMBA….
Shabiki maarufu wa Simba SC, Kay Mziwanda amewachana viongozi wa Simba SC kuwa ndio sababu kubwa ya anguko la Simba msimu huu.
Kay ametoa kauli...
KUHUSU USAJILI MPYA SIMBA, AZIZI KI, FEI TOTO NA WATAKAO ACHWA ..UKWELI WOTE HUU...
Aziz KI amemaliza Mkataba wake Yanga na amegoma kusaini ofa mpya ya Yanga; wanapambana kumbakiza na Yanga hawausemi ukweli huu mchungu kwa mashabiki wao.
Menejimenti...
GAMONDI:- KWA YANGA HII BADO HAIJAISHA MPAKA IISHE KABISA….
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya kuwa na msimu mzuri bado wana kazi ngumu mbele yao katika fainali ya kombe la...
MAYELE:- YANGA WANAJALI SANA MASALHI YAO KULIKO YA MCHEZAJI….NIKIRUDI WATANIPOKEA TU…
Msikie mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri.
"Pamoja na...
WAKATI LIGI ULAYA ZIKIISHA…HIVI NDIVYO SAMATTA NA NOVATUS WALIVYOTIA ‘FORA’ KWA WAZUNGU..
Mwezi Mei umekuwa wa kihistoria kubwa kwa nyota wawili wa Kitanzania wanaocheza soka la kulipwa katika klabu tofauti barani Ulaya, Mbwana Samatta na Novatus...
WAKATI YANGA ‘WAKIINUA KWAPA’ LA UBINGWA TZ…MAMBO YAKO ‘KOONI’ KWA NABI HUKO…
Ligi Kuu ya Morocco maarufu kama Botola Pro imeendelea kuwa na ushindani mkubwa baada ya Raja Athletic Club kushinda Kiporo Chao juzi na kupunguza...
MGUNDA:- MECHI NA JKT NI SAWA NA KUFUNGA SHULE TU…HATMA YETU ITAJULIKANA HAPO….
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Ramadhan Mgunda ametangaza vita kubwa dhidi ya JKT Tanzania, ambao wataamua hatma ya kikosi chake msimu huu...