HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOIMALIZA MBEYA CITY, SASA INAHITAJI POINTI TATU KUBEBA UBINGWA
MABINGWA watetezi wa Kombe la Ligi Kuu Bara, Simba jana wameishushia kichapo cha mabao 2-0 Mbeya City kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa...
UBINGWA SASA WANUKIA LIVERPOOL BAADA YA MIAKA 30
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool kwa sasa anasubiri kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kushinda mabao 4-0 mbele ya Crystal Palace...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako jero tu
KASEKE – HAIKUWA BAHATI MBAYA
KUTOKANA na kuonyesha kiwango bora katika nafasi ya beki wa kulia, nyota wa Yanga, Deus Kaseke, amesema kuwa haikuwa bahati mbaya kwake kucheza eneo...
SVEN ATOA AHADI YA KARNE SIMBA…AWATAJA WACHEZAJI ..!!!
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji, amesema anafahamu kwamba wanakabiliwa na mechi ngumu za kumaliza msimu huu wa Ligi Kuu Bara,...
LIVE:YANGA 0-0 NAMUNGO FC
Kipindi cha Kwanza Uwanja wa TaifaYanga 0-0 Namungo FCDakika 45 zimekamilika inaongezwa mojaDakika ya 45 Nchimbi ndani ya 18 anacheza fauloDakika ya 44 Said Juma...
WANYARWANDA WAFUNGUKA USAJILI WA KIFAA KIPYA CHA YANGA..!!
BAADA ya Klabu ya Yanga kumalizana na beki wa kushoto wa Rayon Sports ya Rwanda, Eric Rutanga, uongozi wa klabu hiyo umeibuka na kudai...
MBEYA CITY KUKUTANA NA RUGU JINGINE LA SERIKALI
HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni amesema kuwa kwa kosa la mashabiki wa Mbeya City na Simba kutofuata muongozo wa mita...