MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

0
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mechi ya jana kati ya JKT Tanzania na Yanga upo namna hii

TIMU YA MBWANA SAMATTA YAAMBULIA POINTI MOJA

0
ASTON Villa ya Mbwana Samatta leo imelazimisha sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa dhidi ya Sheffield United.Mchezo wa leo...

KUELEKEA ‘GAME’ YA JUMAMOSI NA MWADUI…SVEN AMEFUNGUKA HAYA…

0
KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck amewaambia mashabiki kwamba mziki unaoshuka Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Taifa dhidi ya Mwadui ni tofauti kabisa na wataona...

KESHO NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI, USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO

0
Kesho ndani ya SPOTI XTRA Alhamisi usipange kukosa nakala yako 

BREAKING:LAMINE AKATWA MSHAHARA YANGA

0
BEKI wa Klabu ya Yanga, Lamine Moro amekwatwa mshahara wake wa kiasi cha shilingi milioni moja kutoka kwenye mshahara wake kwa kosa la kitenda ...

JKT TANZANIA YAGAWANA POINTI NA YANGA KIBABE, WAWILI WALAMBISHWA UMEME

0
JKT Tanzania, leo imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.Mchezo wa leo ulikuwa na ushindani...

NAMUNGO WANACHOKITAFUTA NI HIKI HAPA

0
KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ni mgumu jambo linalowafanya wawe makini kwenye mechi zao.Akizungumza...

VPL, LIVE: JKT TANZANIA 1-0 YANGA

0
HT: JKT Tanzania 1-0 YangaMichael Aidan goal Zimeongezwa dakika 2Dakika ya 45 Juma Abdul anapiga faulo inayoishia Kwenye mikono ya kipaDakika ya 44, Kaseke anachezewa...

AHADI YA NYOTA MTANZANIA ANAYEKIPIGA ENGLAND NI NZITO BALAA

0
MSHAMBULIAJI wa timu ya Aston Villa inayoshiriki Premier League, Mtanzania, Mbwana Samatta amemhakikishia baba yake mzazi, mzee Ally Samatta kuwa atapambana kuhakikisha anainusuru timu...

YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA JKT TANZANIA

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ushindani na wana amini kuwa watapata pointi tatu leo mbele ya JKT Tanzania.Yanga...