TUENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI TUINGIAPO UWANJANI ILI BURUDANI IENDELEE

0
USIRUHUSU mwili wako ukachoka ilihali una nguvu ya kupambana katika tatizo ambalo upo nalo kwa wakati huo lazima utafute njia nzuri ya kukutoa kwenye...

MAJEMBE YA KAZI AZAM FC YARUDI KUIWAHI SIMBA, SASA KAZI IPO

0
MAJEMBE ya kazi yanayokipiga ndani ya kikosi cha Azam FC yameanza kushuka Bongo taratibu.Leo Juni 15, wachezaji wawili kutoka Zimbabwe, beki wa kushoto, Bruce...

SASA MANCHESTER UNITED YAMGEUKIA BOSI WA SAMATTA

0
MANCHESTER United, inaripotiwa kuwa imeongeza nguvu kubwa kwa sasa kumpata nahodha wa Klabu ya Aston Villa ya Mbwana Samatta, Jack Grealish baada ya kuambiwa...

IBRAHIM AJIBU MTAMBO WA MABAO MECHI ZA MAZOEZI ILA ZA USHINDANI ANA USHKAJI NA...

0
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba anazidi kuwa mtambo wa mabao kwenye mechi za kirafiki ila mechi za ushindani ametengeneza ushkaji na benchi.Kwenye mechi...

TUNATARAJIA KUONA USHINDANI WA KWELI, LALA SALAMA UMAKINI UNAHITAJIKA

0
LIGI Kuu Bara imeendelea Jumamosi, Juni 13 na mechi mbili zilichezwa kwenye viwanja vya Mkwakwani mkoani Tanga na Kambarage kule Shinyanga.Kule Kambarage, Mwadui walikuwa...

UPEEPO MKALI WAIPONZA NAMUNGO KUAMBULIA POINTI MOJA MBELE YA COASTAL UNION

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa kilichowaponza kuambulia pointi moja mbele ya Coastal Union, Juni 13, Uwanja wa Mkwakwani ni upepo mkali...

BAADHI YA PICHA YANGA WALIVYOTUPIA LEO MJENGONI DODOMA

0
LEO timu ya Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael imealikwa bungeni.Hizi hapa baadhi ya picha za Yanga wakiwa maeneo ya mjengoni:-

KWA WALICHOVUNA JANA SIMBA WAJILAUMU WENYEWE, RUVU SIO WATU WA MCHEZO

0
SIMBA jana ilikubali kugawana pointi mojamoja mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchez wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa.Simba iliyo chini ya Kocha...

NGOMA APEWA MKONO WA KWA KHERI AZAM FC

0
INAELEZWA kuwa mshambuliaji wa Azam FC raia wa Zimbabwe, Donald Ngoma ametupiwa virago na Klabu yake hiyo. Ngoma alijiunga na Azam FC akitokea Yanga SC...