GSM:TUNATAKA KUACHA ALAMA YANGA, SEVILLA WATATUNGAZIA NCHI, MKATABA WASAINIWA
INJINIA Hersi Said,Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM amesema kuwa mpango mkubwa wa kuwa wadhamini ndani ya Klabu ya Yanga ni kuona kwamba siku watakayoondoka wanaacha...
SIMBA YATAJA SABABU YA MECHI ZAO 10 KUWA NGUMU
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kazi kubwa ya kupambana kwenye mechi 10 kutokana na wapinzani wao kujipanga kupata matokeo.Simba imecheza mechi...
YANGA: TUPO MIKONO SALAMA HATUJAKOSEA NJIA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchakato wao wa mabadiliko ni ndoto yao ya muda mrefu hivyo wanaamini kwamba itafanikiwa bila mashaka yoyote yale kwa...
MASHINE ILIYOINGIA SIMBA YAAHIDI UBINGWA,YANGA KUMEPAMBA MOTO, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
KESHO ndani ya Championi Jumatatu, usipange kukosa kupata nakala yako.
RATIBA YA MECHI ZILIZOBAKI KUTOLEWA KESHO
BODI ya Ligi Tanzania imetoa taarifa kuwa ratiba ya mechi ambazo zilipangwa kutolewa leo itatolewa kesho Jumatatu, saa 4:00 asubuhi.
WAANDISHI WA HABARI WA TIMU YA WASIOOA WAWAFUNGA WALIOOA KWA PENALTI
WAANDISHI wa Habari Walioa wamepoteza kwa kufungwa kwa penalti 4-1 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Wasioa uliochezwa leo Uwanja wa Chuo cha Sheria...
SASA MECHI KUPIGWA KAMA KAWAIDA, NYUMBANI NA UGENINI, VITUO HAKUNA
RASMI sasa mechi zote zitachezwa kwa mtindo wa nyumbani na ugenini bila kuwepo vituo kama ambavyo awali ilielekezwa.Dr. Hassan Abass, Katibu Mkuu wa Wizara...
BREAKING: MASHABIKI RUKSA KWENDA UWANJANI, UTARATIBU WATAJWA
DR.Hassan Abbas,Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni. Sanaa na Michezo amesema kuwa kuanzia ligi itakapoanza mashabiki ni ruksa kwenda viwanjani lakini kwa kuzingatia...