VILIO INATOSHA, MALIZENI MSIMU MAISHA YAENDELELEE

0
KILIO cha wengi awali ilikuwa ni kuona kwamba mambo yanatulia na masuala ya michezo yanaendelea  ili wanafamilia ya michezo wapate burudani ambayo walikuwa wameikosa.Ilikuwa...

MBARAKA YUSUPH AREJEA MZIGONI

0
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa yupo vizuri kuendelea kupambana kwenye mechi za ushindani.Mbaraka alikuwa nje akitibu majeraha yake aliyopata...

MKWASA ASHIKILIA MIKOBA YA MBELGIJI WA YANGA

0
YANGA imeanza mazoezi yake ikiwa chini ya Kocha Msaidizi, Charles Mkwasa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria Dar es Salaam.Ofisa Uhamasishaji na Msemaji wa...

YANGA: TUNACHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa bado unaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kujiweka salama kabla ya kuanza kucheza mechi za ushindani.Masuala...

YANGA YAJIPA NAFASI YA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIMATAIFA

0
ANTONIO Nugaz,  Ofisa Muhamasishaji na Msemaji wa Yanga amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa msimu ujao wakashiriki michuano ya kimataifa kutokana na mipango waliyojiwekea. Nugaz...

POLISI TANZANIA WAKIWA KAZINI BADO WANATAMBUA UWEPO WA CORONA

0
TIMU ya Polisi Tanzania iliyo chini ya Kocha Mkuu, Malale Hamsini inaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Polisi Tanzania tayari imeanza mazoezi yake...

NGWAIR ALAMA INAYOISHI BONGO

0
ALBERT Magheha, 'Ngwair' staa wa muziki wa Bongo Fleva alitangulia mbele za haki tarehe kama ya leo Mei 28 akiwa na miaka 30 nchini...

TIMO WERNER AINGIA ANGA ZA LIVERPOOL

0
TIMO Werner, staa wa Klabu ya RB Leipzig raia wa Ujerumani amewekwa kwenye rada za vinara wa Ligi Kuu England Liverpool.Werner mwenye miaka 24...

YANGA HAKUNA KUREMBA, NDANI YA GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako jero tu 

MAJEMBE HAYA 22 YA KAZI SIMBA YAMERIPOTI KAMBINI, WENGINE LEO TENA

0
MAJEMBE ya kazi mengine ndani ya kikosi cha Simba yanatarajiwa kuripoti kambini leo baada ya wengine kuanza kuripoti jana.Patrick Rweyemamu, Meneja wa Simba amesema...