KISA GUEDE….MASTAA YANGA WAVUNJA UKIMYA…WATAKA AOMBWE MSAMAHA HARAKA…
Ni kama gari limewaka kwa mshambuliaji wa Yanga, Joseph Guede ambaye hivi sasa namba zake zinambeba na kumfanya kuwa mchezaji hatari katika kikosi hicho,...
WAKATI MRITHI WA LOMALISA KASHAJULIKANA….MASHINE HII KUCHUKUA NAFASI YA MUSONDA YANGA…
Wakati Yanga ikiwa kwenye mchakato wa kusaka mbadala wa Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kuachwa mwisho wa msimu huu, imebainika kuwa mshambuliaji Keneddy Musonda pia...
AHMED ALLY:- JAHAZI LA SIMBA LINAYUMBA….TUTAPUNGUZA WACHEZAJI MIZIGO KWA TIMU…
Meneja Habari na Mawasilino Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa kutokana na timu hiyo kushindwa kufanya vizuri msimu huu, wanatarajia kupunguza baadhi ya wachezaji...
HIO YANGA MPYA WEKA MBALI NA WATOTO AISEE…ENG HERSI KUSHUSHA VYUMA HIVI VYA KAZI…
WAKATI ikiwa na kibarua kigumu cha kusaka pointi tatu dhidi ya Mtibwa Sugar, klabu ya Yanga inahusishwa kutaka kuwasajili nyota, kiungo mshambuliaji, Agee Basiala...
KUPITIA ODDS HIZI …MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO LEO…
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet inasema hivi leo hii ndiyo siku yako ya kuwa MIlionea endapo utaamua. Machaguo zaidi ya 1000, na ODDS...
AHMED ALLY:- KWA SIMBA HII YA MGUNDA TUNAMFUNGA AL AHLY NNJE NDANI…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanatamani kurudiana na timu zote walizocheza nazo msimu huu zikawafunga.
Ahmed amesema hayo...
AHMED ALLY:- KWA UBORA WA SASA TULIONAO SIMBA…UBINGWA WA LIGI NI HALALI YETU…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mara baada ya kushinda bao 3-0 mchezo wao wa Ligi dhidi ya Azam...
KUHUSU KUPEWA TIMU MAZIMA….MGUNDA AWATEGA MABOSI SIMBA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC ni kama ameutega Uongozi wa Klabu hiyo, katika kipindi hiki ambacho wanamsaka Kocha Mkuu atakayekabidhiwa kikosi kwa ajili...
CHIRWA AVUNJA UKIMYA KUHUSU MASTAA WA BONGO…”TATIZO WANADHARAULIWA SANA…”
Nyota wa klabu ya Kagera Sugar Obrey Chirwa anaamini kuwa nyota wazawa hawapewi heshima wanayostahili kutokana na ubora walionao ambao kwa wakati mwingine wanawazidi...
KUHUSU AYOUBU KUBAKI AU KUSEPA SIMBA…UKWELI UNAOPASWA KUJUA HUU HAPA…
KLABU ya Simba iko mbioni kuhakikisha wanampa mkataba mpya kipa wao, Ayoub Lakred kusalia ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao aa mashindano Imeelezwa.
Kulikuwa...