KOCHA WA AZAM FC CIOABA ALITUA BONGO KWA NJIA YA KISHUJAA
IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Azam FC, Arstica Cioaba alilazimika kudanganya kuwa ni dereva wa lori ili kuvuka mipaka ya Romania, Hungary na kuibukia...
MANCHESTER CITY YAIKAZIA UNITED KWA STERLING
IMERIPOTIWA kuwa Manchester City haipo tayari kumuachia nyota wake Raheem Sterling ambaye anawindwa na wapinzani wao wakubwa Manchester United wakiitaka saini yake.Mkataba wa mshambuliaji...
LUC EYMAEL WA YANGA KUTUA BONGO JUNI 6
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael tayari ameshatumiwa tiketi yake anachosubiri kwa sasa ni kurejea nchini kuanza majukumu yake.Eymael alisepa nchini na...
MKULIMA WA MPUNGA ATOA AHADI KUBWA NDANI YA YANGA
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa atapambana kuona timu yake inatwaa taji la Kombe la Shirikisho ili kuona timu yao inashiriki michuano ya...
MAJEMBE MANNE YA KAZI YANGA FRESH, MUDA WOWOTE KUTUA BONGO
MAJEMBE manne ya kazi yameruhusiwa kutua Yanga kukipiga msimu ujao iwapo mambo yatakwenda sawa.Majembe hayo yanakipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda...
AZAM FC YAIVIMBIA SIMBA KIMTINDO
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa hauna mashaka na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa kati ya Juni 27/28...
SIMBA:MASHABIKI TUPENI SAPOTI TUTAENDELEA PALE TULIPOISHIA
MOHAMED Hussein, 'Tshabalala' nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa wamejipanga kuendelea na balaa lao uwanjani kwenye mechi zao zilizobaki ndani ya msimu wa 2019/20.Hakukuwa...
NDANDA KUMEKUCHA, JUNI SITA KUKIWASHA NA NAMUNGO
MEJA mstaafu, Abdul Mingange, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Namungo utawarejesha kwenye ramani.Ndanda ina kibarua kizito...
MUONEKANO UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI LIPO MTAANI
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako.