WATANO WAKUBALI KUTUA SIMBA, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, mashine tano zakubali kutua Simba 

NDEMLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU SIMBA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
KESHO ndani ya Championi Jumamosi usipange kukosa 

ISHU YA BILIONI MOJA YA MAGUFULI ILIYOTINGA TAKUKURU, MEJIBIWA NAMNA HII NA TFF

0
ISHU ya TAKUKURU kueleza kuwa wanafanya uchunguzi juu ya matumizi ya bilioni moja iliyotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano...

FIFA YAIBONYEZEA CHEKUNDU TUZO YA MCHEZAJI BORA 2020 MAZIMA

0
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limetangaza kufuta tuzo za soka zinazotolewa na Shirikisho hilo mwaka huu kutokana na janga la Virusi vya Corona. Tuzo...

MABEKI HAWA WAWILI WA SIMBA PASI ZAO ZA MWISHO ZILIMDONDOKEA KAGERE

0
LICHA ya kuwa ni mabeki Passcal Wawa na Shomari Kapombe ni mitambo ya mabao hawa wawili ndani ya Simba wamehusika kwenye mabao sita ndani...

KOCHA YANGA AGOMEA MTEGO WA MWINYI ZAHERA

0
 LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba katika kikosi chake cha msimu ujao atakachofanya ni kutosajili wachezaji wengi badala yake atafanya maboresho...

SIMBA YATAKA KUSEPA NA UBINGWA WAO TENA

0
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone, ameibuka na kusema kuwa anatamani kuona janga la ugonjwa wa Covid-19 unaotokana na Virusi vya Corona, lipotee ili waweze...

KUMBE YANGA WAJANJA KWELI, WAMUWAHI KIUNGO MRWANDA FASTA

0
INAELEZWA kuwa Yanga imeongeza juhudi kuinasa saini ya kiungo fundi wa Klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Ally Niyonzima kwa ajili ya kumwaga wino...

SHEVA, KIUNGO MZAWA HIVI NDIVYO ALIVYOZUIA USAJILI

0
KUREJEA kutoka kwenye majeraha kwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Miraji Athuman ‘Sheva’ kumezuia usajili wa kiungo wa Polisi Tanzania, Sixtus Sabilo na Lucas Kikoti...

WATANZANIA WATATU WATWAA UBINGWA HUKO CONGO

0
NYOTA watatu kutoka ardhi ya Bongo ambao ni Thomas Ulimwengu, Ramadhani Singano na Eliud Ambokile ni miongoni mwa waliobeba ubingwa na TP Mazembe baada...