YONDANI ANACHOWAONYESHA YANGA WENGI HAWAJAFANYA, KUFENI NAYE KWA SHIDA NA RAHA
NA SALEH ALLYNIMEMSIKIA beki Kelvin Yondani, maneno yake aliyoyasema wakati akifanya mahojiano na Gazeti la Spoti Xtra, hakika yanaonyesha nini maana ya ukongwe.Yondani amemaliza...
ARSENAL WAJIWEKA PEMBENI ISHU YA AUBA
ARSENAL imeamua kujiweka kando kwenye ishu ya mazungumzo ya kuongeza mkataba na nyota wao Pierre-Emerick Aubameyang.Inaelezwa kuwa huenda nyota huyo mwenye miaka 30 akaibukia...
TUACHE UNAFIKI, TUMUAMBIE NDEMLA UKWELI, SIMBA SI SEHEMU SALAMA KWAKE…!
NA SALEH ALLYWAKATI huu michezo imesimama kwa ajili ya hofu ya maambukizi ya Covid 19, yaani ugonjwa wa homa ya mapafu ya Corona.Ugonjwa huu...
DILUNGA ATAJA SABABU YA KUTUSUA SIMBA
HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa ambacho kinambeba ndani ya klabu hiyo nikujituma na kufanya kazi bila kuchoka.Kabla ya Ligi Kuu...
MOISE KEAN KWA KUDAIWA KUFANYA SHEREHE NA WANAWAKE ADHABU INAMHUSU
KLABU ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu nchini England imesema kuwa imestushwa na taarifa kuhusu mshambuliaji wao Moise Kean kuvunja sheria ya kumepuka mikusanyiko isiyo...
UMAKINI NA TAHADHARI KWA SASA NI MUHIMU
BADO mambo ni magumu kwa sasa na hii ni kutokana na janga la Virusi vya Corona ambavyo vinaendelea kuitikisa dunia kiujumla. Sio shule, soka na...
HIVI NDIVYO OKWI ALIYOKUWA ANAWAPA TABU YANGA
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Klabu ya Yanga amesema kuwa ilikuwa ni shughuli pevu kupambana na mshambuliaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi ndani...
ISHU YA YAKUB MOHAMED KUIBUKIA SIMBA IMEFIKIA HAPA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa bado ina mkataba na nyota wao Yakub Mohamed ambaye inaelezwa kuwa saini yake inawindwa na Simba.Beki...
MARTIN APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA BARCA
STRAIKA wa Barcelona, Martin Braithwaite amesema anataka kukaa ndani ya klabu hiyo kwa muda mrefu zaidi ya mkataba ambao anao kwa sasa kwa kuhakikisha ainafanya...
SIMBA WAIJIBU KIBABE YANGA, NI KUHUSU SAINI YA BEKI CHIPUKIZI WA COASTAL UNION
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauwezi kushindwa kupata saini yoyote ya mchezaji anayekipiga ndani ya timu za Bongo kwa sasa kutokana na kujipanga kiuhakika.Kauli...