NAMNA METACHA MNATA ALIVYOTIBIWA KIDOLE CHAKE NA YULE MAMA MWENYE MIUJIZA

0
Nilielezea namna ambavyo nilicheza kwa wikimbili mfululizo huku kidole changu kikiwakimevunjika.Sikuwa nimejua kama kidole kimevunjika lakinimuda wote wa wiki mbili nilicheza nikiwa namaumivu makali...

MCHONGO WA NDINGA MPYA UMEFIKIA PATAMU, NI RAHISI SANA NUNUA CHAMPIONI AMA SPOTIXTRA GAZETI

0
Wasomaji mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kinyrezi, Tabata migombani na maeneo mengine  wameendelea  kujaza kuponi kwa ajili ya...

HATMA YA KICHUYA,NDEMLA, AJIBU NDANI YA SIMBA IPO HIVI

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hatma ya wachezaji wote ndani ya kikosi hicho ni pale ambapo Ligi Kuu Bara itakamilika ndipo watataja wale watakaochwa...

WACHEZAJI WA LIGI KUU ENGLAND WAUNDA UMOJA WAO KUPAMBANA NA CORONA

0
WACHEZAJI wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wameunda umoja wao ambao una malengo ya kukusanya fedha kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kupambana na...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, NAFASI YA KUSHINDA NDINGA NI...

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi 

WACHEZAJI SIMBA MTEGONI, ATAKAYEKIUKA ADHABU JUU YAKE INAMUHUSU

0
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Simba kabla ya kuvunja kambi walifanyiwa vipimo vya uzito hivyo atakayeongezeka kilo ghafla hatua...

NYOTA WATATU WA FIORENTINA SASA WAPO GADO BAADA YA KUPEWA MATIBABU YA CORONA

0
KLABU ya Fiorentina imetangaza kuwa mastaa wake watatu ambao walikutwa na Virusi vya Corona kwa sasa wamepona na wanaendelea vizuri. Mastaa hao ni pamoja na...

MABOSI COASTAL UNION WAMRUHUSU NONDO KUTIMKIA SIMBA

0
UONGOZI wa Coastal Union umesema kuwa wapo tayari kumuuza beki wao chipukizi Bakari Nondo ambaye pia ni nahodha wa kikosi hicho chenye maskani yake...