HAJI MANARA APANIA KUINGIA ANGA ZA MUZIKI SASA, AWATAJA ALIOWAFUNDISHA

0
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema yeye amewafundisha wasanii wawili wa muziki wa Bongo fleva ambao ni Ali Kiba na Suma Lee hivyo...

PJANIC, NYOTA JUVENTUS AGOMEA DILI LA KUIBUKIA MANCHESTER UNITED

0
MIRALEM Pjanic,  nyota anayekipiga ndani ya Juventusamegomea dili la kujiunga na Manchester United pamoja na lile la kuibukia ndani ya PSG.Licha ya habari kueleza...

JUMA NYOSSO BADO WAMO NDANI YA UWANJA

0
JUMA Nyosso nahodha wa Kagera Sugar ni miongoni mwa mabeki ambao wapo Makini ndani ya Uwanja muda wote huku akitoa majukumu kwa vijana wake...

OZIL KIUNGO FUNDI WA ARSENAL AJITOA KWA AJILI YA JAMII

0
MESUT Ozil, kiungo wa Arsenal ameonyesha utu wake kwa kuwajali wengine  baada ya hivi karibuni kutoa kiasi cha pauni 80,000 (sh milioni 231) kwa...

KOSI HILI LA MASTAA KARANTINI INAWAHUSU

0
Kosi hili Karantini inawahusukwa kuwa wapo nje ya nchi hivyo wakirudi Bongo siku 14 zitakuwa za uàngalizi kwao kujua iwapo wana maambukizi ya Virusi...

ISHU YA MWAMNYETO KUIBUKIA YANGA IMEFIKIA HAPA, NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani nakala yake ni jero

HUKU NDIKO ATAKAKOIBUKIA AJIBU NYOTA WA SIMBA

0
HANII Kessy Meneja wa kiungo wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa nyota huyo sio wa kucheza Yanga ama Azam ana ofa nje ya nchi...

SHEVA AVURUGA MAMBO HUKO NA YONDANI ATOA KAULI, KESHO NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Alhamisi usipange kukosa nakala yako jero kama jero

MAMBO BADO SIO SHWARI LAKINI LAZIMA KUJIPANGA NA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA

0
MAPAMBANO bado yanaendelea kwa sasa kwani kila mmoja anazidi kutafuta njia ya kuona namna gani anaweza kutoka pale alipo,Mengi ambayo tunayasikia hasa kutoka kwenye...