SIMBA YATAJA SABABU YA AJIBU KUWA NDANI YA KIKOSI CHA KWANZA
MOHAMED Hussein,'Tshabalala' ni beki wa kushoto ndani ya klabu ya Simba pia ni nahodha msaidizi akifanya kazi na John Bocco ambaye ni kapteni mkubwa.Kwenye...
FUNDI WA KUCHEKA NA NYAVU ATOA TAMBO ZA KUTOSHA KABLA YA KUTUA YANGA
NYOTA wa Lipuli, Daruesh Saliboko amesema kuwa iwapo Yanga watakamilisha dili lake kutua makao makuu ya Jangwani watafurahi wenyewe kwani atatatua tatizo la ubutu...
JAMES KOTEI ATAJA SABABU ZITAKAZOMRUDISHA SIMBA
JAMES Kotei, kiungo mkabaji ambaye alicheza kwa mafanikio ndani ya Klabu ya wa Simba amesema kuwa anapenda kurudi ndani ya Simba kwa kuwa hakuzinguana...
MWAMNYETO, NYOTA ANAYEWINDWA NA SIMBA NA YANGA ATOA YA MOYONI
BEKI Chipukizi anayekipiga ndani ya Coastal Union, Bakari Mwamnyeto amesema kuwa ikitokea amepata dili la kujiunga ndani ya Simba ama Yanga atacheki maslahi ili...
MBRAZILI WA SIMBA AJIPA JINA JIPYA, HILI HAPA
GERSON Fraga, nyota wa Simba ambaye ni raia wa Brazil amesema kuwa mtindo wake wa ushangiliaji ni jina lake jipya ambalo amepewa na mashabiki...
MTIBWA SUGAR; TIMU ZOTE ZIUNGANE KUPAMBANA NA CORONA
Wachezaji wa Mtibwa Sugar kabla ya Ligi kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya CoronaTHOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kwa sasa...
HILI NDILO JEMBE ANALOLIKUBALI KOCHA MKUU WA SIMBA
Wachezaji wa Klabu ya Namungo wakiongozwa na Kikoti mwenye jezi namba nane wakiwa kwenye furaha kabla ya Ligi kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya...
KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA KAGERA SUGAR HIKI HAPA
MECK Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kikosi chake kilikuwa kinabebwa na nidhamu pamoja na kujituma kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa.Kwa...
MNATA ATAJA ANACHOKIPATA KUTOKA KWA SHIKALO
METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa anakubali uwezo wa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo kutokana na kuwa...