ALLY NIYONZIMA AKUBALI KUTUA YANGA NI NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA LIPO MTAANI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa lipo mtaani
SABABU YA NDOA YA HAJI MANARA KUVUNJIKA YATAJWA, ATAKA KUOA MWINGINE ILA VIGEZO VYAKE
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ameachana na mkewe na tayari ameshaolewa kutokana na presha kubwa kutoka kwa familia ya upande wa...
MCHEZAJI UTURUKI AMUUA MTOTO, AJIPELEKA POLISI
BEKI wa Klabu ya Bursa Yildirim Spor, Cevher Tokts raia wa Uturuki amekiri kumuua mtoto wake kwa kuwa alikuwa hampendi na kujisalimisha polisi.Tukio hilo,...
YANGA YATAJA SABABU YA MABAO 42 YA KAGERE
MOHAMED Hussein, ’Chinga’ straika wa zamani wa Klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kilicho nyuma ya mabao...
MGHANA SARPONG, JEMBE LINALOTAKIWA NA MBELGIJI WA YANGA
MICHAEL Sarpong, mshambuliaji wa zamani wa Rayon Sports ya Rwanda, ambaye hivi sasa ni huru anatua kuichezea Yanga katika kuelekea msimu ujao.Mshambuliaji huyo raia...
RASFORD SASA MAMBO FRESH
STAA wa Manchester United, Marcus Rashford imeelezwa kuwa kwa sasa yupo fiti kwa asilimia 80 na huenda akarejea pale Premier itakaporejea mwezi ujao.Rashford amekuwa...
DANNY ROSE YEYE NI MWENDO WA MKOPO TU MWANZO MWISHO
DANNY Rose, beki wa Klabu Tottenham Hotspur amecheza jumla ya mechi 156 ndani ya klabu hiyo na ametupia mabao nane huku maisha yake yakiwa...
UONGOZI SIMBA WAFUNGUKIA ISHU YA USAJILI WAO
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa amesema kuwa mashabiki wa Simba wanatakiwa wawe watulivu kuhusiana na usajili wa wachezaji wapya ndani ya timu hiyo,...
MWAMNYENTO AFUNGUKIA DILI LAKE LA KUTUA YANGA
NAHODHA na beki wa kati wa Coastal Union ya Tanga, Bakari Nondo Mwamnyeto amesema kuwa kama mazungumzo yakienda vizuri, basi huenda akatua kukipiga Yanga...