HAWA HAPA WAMESHIKILIA HATMA YA NYOTA MTIBWA SUGAR ANAYEWINDWA NA YANGA

0
DICKSON Job, beki chipukizi wa Mtibwa Sugar amesema kuwa anaweza kucheza timu yoyote ndani ya Bongo kutokana na uwezo wake alionao ila kuhusu timu...

KOSI KAZI LA NYOTA WA MTIBWA SUGAR ANAYEWINDWA NA YANGA LIPO NAMNA HII

0
HIKI hapa kikosi kazi cha kiungo wa Mtibwa Sugar anayetajwa kuingia kwenye rada za Yanga:-Metacha wa YangaAbdul wa YangaMwamnyeto wa Coastal UnionTshabalala wa SimbaYondani...

CORONA YAVURUGA DILI LA KOCHA LIGI KUU

0
KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Hitimana Thierry inaelezwa kuwa janga la Virusi vya Corona limetibua dili lake la kusaini kandarasi mpya.Mkataba wa kocha huyo...

BEKI YANGA AKUBALI UWEZO WA MTUPIAJI NAMBA MOJA WA SIMBA

0
ALLY Mtoni.'Sonso' beki wa kati wa Klabu ya Yanga amesema kuwa miongoni wa mabeki ambao anawakubali ndani ya Bongo ni pamoja na Meddie Kagere...

BETIKA LIPO MTAANI JIPATIE NAKALA YAKO BURE KABISA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la BETIKA lipo mtaani jipatie nakala yako BURE kabisa

TSHISHIMBI: NINAJIFUA KULINDA KIPAJI CHANGU, MUHIMU KUCHUKUA TAHADHARI

0
PAPY Tshishimbi, kiungo wa timu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anaendelea kulinda kipaji chake ili kuwa bora pale ligi itakaporejea.Nahodha huyo wa Yanga...

ISHU YA BEKI MGHANA KUIBUKIA SIMBA IMEKAA NAMNA HII

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado una mkataba na nyota wao Mghana, Yakub Mohamed hivyo kama kuna klabu inamhitaji lazima utaratibu ufuatwe.Habari zinaeleza...

NIYONZIMA AOA KIMYAKIMYA MKE WA PILI

0
HARUNA Niyonzima kiungo mchezeshaji wa Klabu ya Yanga ameoa mke wa pili jijini Dar es Salaam. Taarifa zinaeleza mwanadada huyo aitwaye Cassandra Rayan na Niyonzima...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano 

KIPA YANGA AKODI KOCHA KENYA

0
KIPA wa Yanga, Farouk Shikhalo amesema baada ya kurejea mazoezini amechukua hatua ya kukodi kocha kwa muda wa kumpa mazoezi.Kipa huyo wa Kenya amesema...