GARETH BALE AUKUMBUKA MPIRA

0
STAA wa Real Madrid, Gareth Bale amefunguka kuwa anatamani sana kurejea uwanjani, lakini suala la usalama wa afya ni muhimu kwanza.  Hii ni kutokana na...

HILI HAPA KOSI MATATA LA WACHEZAJI AMBAO MIKATABA YAO INAMEGUKA MSIMU UKIISHA

0
KWA sasa Ligi Kuu Bara imesimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Inatarajiwa hali kuwa shwari hivi karibuni kutokana na dua...

MTUPIAJI NAMBA MOJA AZIINGIZA VITANI YANGA,AZAM NA SIMBA

0
RELLIATS Lusajo nahodha anayekipiga ndani ya Klabu ya Namungo ameziingiza vitani timu kubwa tatu ambazo ambazo ni Simba, Yanga na Azam zinazopambana kuipata saini yake...

MYWEATHER ATAJA SABABU ITAKAYOMRUDISHA ULINGONI, YEYE NI CHIZI SAA

0
FLOYD Mayweather, amesema kuwa licha ya kutangaza kustaafu kupanda ulingoni kuzichapa ila anaweza kurejea tena ikimbidi kufanya hivyo.Bondia huyo ambaye alivuna mkwanja mrefu baada...

NYOTA YANGA AMEKUMBUKA MAKELELE YA MASHABIKI

0
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa amekumbuka kurudi uwanjani kucheza ila anashindwa kutokana na janga la Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia.Akizungumza na...

KUMBE KAGERE ALIKUWA ANAPATA TABU HII UWANJANI

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa mabeki wengi wamekuwa wakimkamia uwanjani jambo ambalo linamfanya awe makini muda mwingi akiwa ndani ya uwanja.Kagere mwenye...

NDOTO ZA KAHEZA NI KUKIPIGA NJE YA BONGO

0
MARCEL Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa ndoto zake ni kuwa mchezaji wa kimataifa baada ya miaka mitano hapo mbele.Kaheza mwenye mabao saba...

MWANA FA:NIMEPONA CORONA, WADUDU WALINING’ANG’ANIA

0
HAMISI Mwinjuma maarufu kama Mwana FA mwimbaji wa Bongo Fleva, amesema kuwa kwa sasa tayari amepona maambukizi ya Virusi vya Corona alivyokuwa anauguza.FA alikuwa...

KAGERA SUGAR WAO WANAWAFUATILIA KWA MTINDO HUU WACHEZAJI

0
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa wamekuwa wakiwafuatilia wachezaji wao kwa wakati huu ikiwa wanafanya mazoezi kupitia mitandao.Akizungumza na Saleh Jembe,...

KOCHA SIMBA: NGUMU KUWAFUATILIA WACHEZAJI KWA SASA

0
SELEMAN Matola, Kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa ni ngumu kwa sasa kufuatilia maendeleo ya wachezaji iwapo wanafanya mazoezi au la wakiwa nyumbani.Baada ya...