CR 7 HATMA YAKE NDANI YA JUVENTUS IPO NAMNA HII
CRISTIANO Ronaldo nyota wa Juventus inaelezwa kuwa ataendelea kukipiga ndani ya kikosi hicho msimu ujao.Habari zilikuwa zinaeleza kuwa Klabu ya PSG ilikuwa sokoni kuisaka...
WAWA ACHEKELEA MAISHA YAKE NDANI YA SIMBA
PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba amesema kuwa anafurahia maisha yake ndani ya timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo.Wawa ni miongoni mwa...
MANCHESTER CITY YAPELEKA TUZO LIVERPOOL
KEVIN de Bruyne staa wa Manchester City amesema kuwa tuzo ya mchezaji bora wa msimu iende Liverpool.Mpishi huyo wa mabao akiwa na pasi 16...
GSM YAANZA NA NYOTA HUYU,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu, lipo mtaani jipatie nakala yako nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
KIUNGO WA SUDAN APANIA KUFANYA MAKUBWA SIMBA
KIUNGO Sharaf Shiboub raia wa Sudan, ameliambia Spoti Xtra kuwa, kabla ya Ligi Kuu Bara kusimama kutokana na janga la Corona, alikuwa hafurahishwi na...
MTUPIAJI BONGO: UKIMPITA YONDANI JIPONGEZE
YUSUPH Mhilu mshambuliaji anayekipiga ndani ya Kagera Sugar, amesema kuwa moja ya mabeki anaokubali uwezo wao ndani ya Bongo ni pamoja na Kelvin Yondani...
SIMBA NA YANGA ZAPIGWA BAO KWA KIUNGO HUYU,KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
KESHO ndani ya Championi Jumatatu usipange kukosa nakala yako, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
UJUMBE WA JEMBE KWA NADIR HAROUB WA YANGA
KUHUSU Nadir, Jembe anaandika hivi:-KWELI muda umekwisha mwanangu Nadir, unakuwa hauna ujanja lakini kama ungekuwa unaruhusu, ningekushauri urudi tena na kuitumikia Yanga au Tanzania...
KOCHA SIMBA AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba amesema kuwa kwa wakati huu wa maambukizi ya Virusi vya Corona ni lazima kila mmoja akachukua...
KOSI LA MAUAJI LA YANGA NI BALAA, UNAAMBIWA TANO ZINAKUHUSU MAZIMA
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa amejipa jukumu la kupanga kikosi cha kwanza cha Yanga anachoamini kuwa kitakuwa ni balaa uwanjani ambapo kinaweza kumpiga...