BALAA LA KIUNGO ANAYEWINDWA NA YANGA NI ZAIDI YA MORRISON
ALLY Niyonzima, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda inaelezwa kuwa ni hatari ndani ya uwanja zaidi ya Bernard Morrison ambaye...
NYOTA SIMBA APATA OFA YA KUKIPIGA NCHINI ETHIOPIA
MARCEL Kaheza, mali ya Simba anayekipiga ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania kwa mkopo amesema kuwa amepata dili la kujiunga na timu ya nchini...
DILI LA MBAPPE KUIBUKIA MADRID LAYEYUKA JUMLA
DILI la kiungo wa Ufarasa anayekipiga ndani ya Klabu ya PSG, Kylian Mbappe kuibukia Real Madrid limekwama msimu huu mpaka msimu wa 2022.Inaelezwa kuwa...
KOCHA MRUNDI ATAJA SIFA TANO ZA KAGERE
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo ambaye ni raia wa Burundi amesema kuwa mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere ana sifa tano ambazo ni muhimu...
POCHETTINO KURUDI TENA SPURS
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Tottenham Spurs amesema kuwa bado ndoto yake ya kurejea ndani ya klabu hiyo ipo palepale ili...
SIMON MSUVA AMEKUMBUKA KUSHANGILIA BAO
SIMON Msuva mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morroco amesema kuwa amekumbuka kufunga...
AZAM FC WANATAKA MAJEMBE YA KAZI MATATU
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amewaambia mabosi wake kuwa anahitaji kusajili majembe matatu ya kazi kwa ajili ya msimu ujao wa 2020/21.Miongoni...
BERNARD MORRISON ATAOA AHADI HII KWA MASHABIKI, AWAOMBA WAENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa anaamini ligi ikirejea atawaonyesha mambo mazuri mashabiki ambayo walikuwa wameyakosa kwa muda mrefu.Kwa sasa Ligi Kuu...
MCHEZAJI HUYU SIMBA ALIKUWA ANAMPASUA KICHWA SVEN
SVEN Vandenbroec, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa miongoni mwa vitu ambavyo vilikuwa vinampasua kichwa ni kukosa huduma ya Miraj Athuman,' Sheva'. Sheva alikuwa kwenye...
BEKI WA IVORY COAST ANAYEKIPIGA SIMBA ATAJA ANACHOHOFIA
PASCAL Wawa, beki kisiki wa Klabu ya Simba amesema kuwa anamuhofia Mungu ambaye ndiye anamuamini katika kila jambo.Wawa raia wa Ivory Coast anaiongoza safu...