BEKI KIRAKA ASIMULIA SABABU ZA DILI LAKE KUIBUKIA SIMBA KUBUMA
SALUM Kimenya, beki kiraka wa Klabu ya Tanzania Prisons amesema kuwa kinachokwamisha dili lake la kutua ndani ya Simba ni dau kuwa chini kuliko...
SIMBA, YANGA, AZAM FC KUMJUA MBAYA WAKE LEO
LEO Mei 29 mbivu na mbichi zitajulikana kwa kila timu iliyotinga atua ya robo fainali kutambua itakutana na nani kwenye mchezo wao unaofuata.Bingwa mtetezi...
SVEN ATAKA SAA 504 ZA KAZI
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anahitaji siku 21 ambazo ni sawa na saa 504 kwa ajili ya kukiaandaa kikosi chake kurejea...
JUNI 17 KINAWAKA ENGLAND, SAMATTA MZIGONI
LIGI Kuu England inatarajiwa kurejea rasmi Juni 17 kwa mechi mbili ambazo zilikuwa viporo kati ya Manchester City dhidi ya Arsenal na ule kati...
TAREHE YA JEMBE JIPYA KUTUA SIMBA YATAJWA,NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa lipo mtaani jipatie nakala yako
COUNTINHO KUBAKI BAYERN MUNICH MSIMU UJAO UWEZEKANO NI MDOGO KWELI
PHILIPPE Coutinho, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Bayern Munich kwa mkopo akitokea Barcelona anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho msimu ujao.Nyota huyo hajawa...
ARSENAL WASHAURIWA KUMUUZA JUMLA AUBAMEYANG
JEREMIE Aliadiere, mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Arsenal amesema kuwa mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang inabidi auzwe mazima.Nyota huyo amesema Aubameyang amechangia kumuweka Kocha...
KAHATA MAMBO BADO NCHINI KENYA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa bado ni ngumu kwa kiungo wao wa Kenya Francis Kahata kuibuka Bongo kwa sasa kutokana na mipaka ya huko...
AMEBAKI SHIKALO TU KUREJEA YANGA KWA SASA
WACHEZAJI wote wa Klabu ya Yanga tayari wameripoti kambini na kuanza kufanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara.Ofisa...
SABABU YA MEDDIE KAGERE KUWEKWA KWENYE RADA ZA TIMU YA HISPANIA HII HAPA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Simba alitajwa kuibukia ndani ya Klabu ya Levante ya Hispania.Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya nyota...











