MKWANJA WANAOPOKEA SIMBA KUTOKA KWA MO UPO HIVI

0
OFISA Habari wa Simba, Haji Sunday Manara amesema kuwa Simba inaingiza fedha zaidi ya Sh milioni 130 kila mwezi kama gawiwo kutoka kwenye fedha ya...

LAUTARO MARTINEZ AZIVURUGA KLABU ZA ENGLAND, LA LIGA

0
MACHESTER City inayoshiriki Ligi Kuu England iliyo chini ya Kocha Mkuu, Pep Guardiola ipo tayari kuinasa saini ya nyota anayekipiga ndani ya Inter Milan,...

JONAS MKUDE HATAKI MCHEZO NDANI YA SIMBA

0
JONAS Mkude, kiungo wa Simba amesema kuwa kwa sasa anajifua vilivyo ili kulinda kipaji chake alichonacho.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya...

MKUDE – KWA SASA SITAKI UJINGA UJINGA..!!

0
BAADA ya mashabiki wa Simba kumpigia kelele kiungo mkabaji wa timu hiyo, Jonas Mkude kuwa ni tatizo katika kikosi chao kutokana na utovu wa...

BONGO WACHEZAJI WENGI NI WAJANJAJANJA ILA KWA HILI WATAKUWA WANAJIPOTEZA WENYEWE

0
 HAKUNA anayejua kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea lini kwa msimu huu wa 2019/20 kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Corona.Hii inatoa nafasi...

AZAM FC DARASA KWA WENGINE NDANI YA ARDHI YA BONGO

0
AZAM FC ni miongoni mwa timu ambazo zinazidi kufukuzia mafanikio ambayo zinayafikiria kila siku iitwapo leo jambo ambalo linazidi kufungua njia kwa wengi kujifunza...

KUHUSU MOLINGA KUTAKIWA NA WAARABU..LUC EYMAEL AMEFUNGUKA HIVI..!!

0
NAELEZWA kuwa Klabu ya ES Setif inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria imeweka ofa mezani kwa ajili ya kumnasa mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, David Molinga...

GSM WAZIDI KUSHUSHA NEEMA YANGA..WASAINI MKATABA MPYA UTAKAOWAPA YANGA MABILIONI

0
YANGAkumenoga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kusema baada ya timu hiyo kuingia makubaliano mengine na mdhamini wake Kampuni ya GSM ya kusaini mkataba mpya mwingine kwa...

WAKATI HUU WA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA WACHEZAJI MSISAHAU KULINDA VIPAJI VYENU PIA

0
LIGI kuu Bara na Ligi nyingine kubwakubwa zile duniani zote kwa sasa zimesimama kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia kwa...

KUHUSU KUTUA SIMBA..MENEJA WA MWANYETO AMEFUNGUKA HAYA..!!

0
WAKALA Kassa  Mussa ambaye anamuwakilisha beki kisiki anayekipiga kwenye timu ya Coastal Union, Bakari Nondo Mwamnyeto amekanusha uvumi unaoendelea kuhusu mchezaji wake kuhusishwa na...