KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA COASTAL UNION, MKWAKWANI TANGA

0
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhdi ya Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga

COASTAL UNION V YANGA WAPIGANA MKWARA HUU

0
JUMA Abdul, beki wa Yanga na nahodha msaidizi wa kikosi hicho amesema kuwa kesho watapambana mbele ya Coastal Union ili kupata ushindi mbele ya...

JONAS MKUDE HATA WEWE PIA UMO, WACHEZAJI NI MUHIMU KUTUMIA AKILI HAYA MABAVU HAYAFAI

0
JONAS Mkude, kiungo ndani ya Simba ameonyesha kitendo ambacho kimeniacha nikitafakari uimara wake na yale anayoyafanya ndani ya Uwanja kwa sasa.Licha ya kwamba ubora...

TIMU YA SAMATTA YAAMBULIA KICHAPO TENA

0
ASTON Villa timu anayocheza nyota mtanzania, Mbwana Samatta jana imekubali kichapo cha mabao 2-0 mbele ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa...

YANGA:TUNAZITAKA POINTI TATU ZA COASTAL UNION

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa leo watapambana mbele ya Coastal Union kupata pointi tatu muhimu kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu...

HIVI HAPA VIGONGO VYA MOTO KWA SIMBA KABLA YA KUKUTANA NA YANGA

0
SIMBA ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara, Februari 25 wana kazi ya kumenyana na Stand United kwenye Uwanja wa CCM Kambarage.ndani ya mwezi...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA

0
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara Huu hapa baada ya mechi kuchezwa jana, leo pia ligi inaendelea

MTIBWAR SUGAR YAKOMAA NA MATATIZO YAO WENYEWE, KICHAPO MBELE YA MBEYA CITY CHAIBUA HAYA

0
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, amesema kuwa walipambana kwa kiasi kikubwa kutafuta ushindi mbele ya Mbeya City bahati haikuwa yao.Mtibwa Sugar ilifungwa...

AZAM FC: KICHAPO CHETU MBELE YA NAMUNGO HATUNA WA KUMLAUMU

0
AGREY Morris, nahodha wa Azam FC amesema kuwa kichapo walichopokea mbele ya Namungo FC  ni makosa yao wenyewe hakuna wa kumlaumu.Jana Azam ilipoteza mbele...

TAMBO ZA MASAU BWIRE ZAJIBIWA KWA VITENDO NA POLISI TANZANIA

0
TIMU ya Polisi Tanzania jana imemjibu Ofisa Habari wa Ruvu Shooting kwa vitendo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1.Bwire alisema kuwa hesabu...