MBAO FC YAGOMA KUSHUKA DARAJA

0
WAZIR Jr, mshambuliaji wa Mbao FC amesema kuwa anaimani kuwa timu yao haitashuka daraja kutokana na mipango ambayo itapangwa baada ya ligi kurejea.Kwa sasa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, BURE KABISA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Betika, lipo mtaani jipatie nakala yako BURE kabisa

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano, lipo mtaani nafasi ya kushinda ndinga ni yako

FRAGA WA SIMBA HUMUAMBII KITU KUHUSU KUKU, LICHA YA KUPIGWA STOP BADO WAMO

0
GERSON Fraga, kiungo wa Simba amesema kuwa wamepigwa stop kula kuku ila akipata muda huwa anafanya hivyo kwa kuwa ni vitu anavyovipenda.Fraga, raia wa...

MTUPIAJI WA NAMUNGO AFUNGUKIA USAJILI WAKE YANGA

0
RELIANTS Lusajo, nahodha wa Namungo amesema kuwa anaamini akitua ndani ya Yanga ataendelea kutupia kama kawaida kutokana na uwezo alionao.Lusajo amekuwa akihusishwa kutua Yanga...

NAHODHA WA LIPULI APATA SHAVU MALAYSIA,

0
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa amepata dili la kujiunga na moja ya timu inayoshiriki Ligi Kuu nchini Malaysia mambo yakiwa sawa atasepa...

GALLAS: NITASEPA BONGO WAKATI UKIFIKA

0
WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kulia wa Polisi Tanzania amesema kuwa anaamini kuwa anaweza kuondoka Bongo iwapo atapata nafasi ya kucheza nje ya nchi.Polisi...

UONGOZI SIMBA WAWAPIGA STOP WACHEZAJI KULA VYAKULA HIVI

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wakati huu wamewazuia wachezaji wa Simba kula vyakula vyenye mafuta na vinywaji vyenye sukari nyingi ili kulinda afya...

MFUMANIA NYAVU BONGO ATAJA KINACHOMBEBA

0
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba amesema kuwa sababu kubwa inayomfnya afunge akiwa ndani ya uwanja ni umakini wa kutumia nafasi anazozipata pamoja na ushirikiano...

USAJILI WA MWAMNYETO SIMBA ITAPENDEZA ZAIDI

0
WAKATI Simba ikitajwa kumalizana na beki wa kati wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto, kiungo wa zamani wa Polisi Mara, Musa Keita amesema Wekundu hao...