YALIVYO MAPAMBANO YA MORRISON DHIDI YA CORONA AKIWA NYUMBANI
Na Saleh AllyUGONJWA wa Corona sasa ni tishio la dunia na unaona umelazimisha kusimama hadi kwa michezo mbalimbali duniani ukiwemo ule wenye nguvu zaidi...
ISHU YA MGAO WA MKWANJA WA GSM YANGA YAFANULIWA NA VIONGOZI
DAVID Ruhago, Katibu Mkuu wa Yanga amesema kuwa suala la mgawao wa fedha kwa wachezaji wa Yanga wanapopata ushindi halipo kwenye mkataba wa wachezaji...
JUHUDI ZA CHAMPIONI, SPOTI XTRA DHIDI YA CORONA ZIWE MFANO WA KUIGWA
NA SALEH ALLYJUZI niliitwa na Mkurugenzi na Mwenyekiti wa makampuni yaliyo chini ya Global Group, huyu ni Eric Shigongo ambaye alinieleza wazo lake kuhusiana...
HIZI HAPA DAKIKA ZA SAID NDEMLA NDANI YA LIGI KUU BARA ALIZOTUMIA KATI YA...
SAID Ndemla kiungo wa Simba msimu wa 2019/20 ametumia dakika 270 sawa na mechi tatu uwanjani kwenye mechi za Ligi Kuu Bara wakati Simba...
SAID MAKAPU ATAJA SABABU YA KUANZA KIKOSI CHA KWANZA NDANI YA YANGA
SAID Makapu, beki wa Yanga amesema kuwa kinachompa namba kwa sasa ndani ya kikosi cha Yanga ni kuaminiwa na Kocha Mkuu, Luc Eymael tofauti...
KOCHA SIMBA: WACHEZAJI WASIOFUATA PROGRAMU WATAUA VIPAJI VYAO
KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji kufuata program walizopewa ili kulinda vipaji vyao.Ligi Kuu Bara imesimamishwa kwa muda...
HARUNA NIYONZIMA: MASHABIKI WANAHITAJI FURAHA HATA KAMA TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mashabiki wanahitaji ushindi muda wote bila kujali kama wakati mwingine wachezaji wanapita kwenye kipindi kigumu jambo...
SABABU YA KOCHA MAYANJA ALIYEIONOA KMC KUTWAA TUZOHII HAPA
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC ametwaa tuzo ya Kocha Bora kwa mwezi Februari akiwa na kikosi cha KFC cha Uganda.Kocha huyo aliingia...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
CAFU:NEYMAR NI MJUZI KULIKO MESSI KWA SASA
CAFU, nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil amesema kuwa Neymar Jr ni Habari nyingine kwa wachezaji wenye ujuzi wa kucheza mpira.Nyota...