MZUNGU WA SIMBA AMZUNGUMZIA MCHEZAJI WAKE AJIBU, HUU NDIO MTAZAMO WAKE

0
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa kiasi fulani ameanza kumuelewa mchezaji wake Ibrahim Ajibu.Ajibu alijiunga na Simba akitokea Yanga ambapo akiwa...

LIPULI YATAJA KILICHOWAKWAMISHWA KWA YANGA

0
PAUL Nonga, nahodha na mshambuliaji wa Lipuli FC amesema kuwa walizidiwa mbinu kipindi cha kwanza na Yanga jana, Februari 5 kwenye mchezo wa Ligi...

TIMU ZA MBEYA ZAMKAZIA MROMANIA WA AZAM FC

0
AZAM FC iliyo chini ya Arstica Cioaba raia wa Romania, imeshindwa kufurukuta mbele ya timu za Mbeya kwa kugawana pointi mojamoja kwenye mechi mbili...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la SPOTIXtra Alhamisi

GREALISH MSHIKAJI WA SAMATTA ANAWINDWA NA MANCHESTER UNITED

0
JACK Grealish, mchezaji nyota wa timu ya Aston Villa amewekwa kwenye rada za Manchester United pamoja na Leicester City ambao wanahitaji kuipata saini yake.Nyota...

ISHU YA SPORTPESA CUP SASA IMEFIKIA HAPA

0
IMEELEZWA kuwa michuano mikubwa ya SportPesa Super Cup ipo njiani kurejea tena na safari hii ushindani ukitajwa kuwa mkubwa zaidi ya msimu ulipita.Mdhamini mkuu...

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA LIPULI

0
Kikosi cha Yanga kitakachocheza mechi ya leo dhidi ya Lipuli FC.

SANE AINGIA ANGA ZA JUVENTUS

0
TIMU ya Juventus inafikiria kuinasa saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.Nyota huyi ambaye ni raia wa Ujerumani pia amewekwa kwenye rada za...

MBEYA CITY YAZITAKA POINTI TATU ZA KMC

0
MBEYA City leo watakuwa na kibarua cha kutafuta pointi tatu mbele ya KMC ambayo nayo inazitafuta pointi tatu kwa udi na uvumba.Kocha Mkuu wa...

NAMUNGO FC MAJALIWA WABISHI KINOMANOMA

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa ni kwenye Uwanja wao wa Majaliwa hakuna kilichofukiwa zaidi ya jitihada za wachezaji kutafuta matokeo.Kwenye...