AZAM FC WAJANJA KINOMA, WAITIBULIA SIMBA KWA MSHAMBULIAJI HUYU MATATA
MSHAMBULIAJI wa Azam FC Andrew Simchimba amejifunga ndani ya klabu hiyo kwa kandarasi ya miaka mitatu.Nyota huyo inaelezwa kuwa alikuwa kwenye hesabu za mabosi...
YANGA YAITANGAZIA VITA JUMLAJUMLA SIMBA, MACHI 8 TAIFA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utaonyesha soka safi lisilo na makandokando kwenye mchezo wao utakaochezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa dhidi ya Simba.Yanga iliyo...
BEKI AZAM FC APIGWA PINI MIAKA MITATU MAZIMA
BEKI chipukizi wa Azam FC Lusajo Mwaikenda makataba ataendelea kuitumikia klabu yake hiyo mpaka mwaka 2023.Hatua hiyo imekuja baada ya kupewa kandarasi mpya ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
NYOTA BORUSSIA DORTUMUND ATAJA SABABU YA KUTOMSAHAU KOCHA WA MANCHESTER UNITED
NYOTA wa timu ya Borussia Dortumund, Earling Haalad amesema kuwa hawezi kumsahau Kocha Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnnar Solkkajer, kwa sapoti yake.Wote wawili...
KUMBE, BEKI MANCHESTER UNITED ALIMPA HASIRA BILLY WA CHELSEA
KIUNGO wa Chelsea, Billy Gilmour amesema aliweza kucheza vizuri katika mechi yao dhidi ya Liverpool baada ya kuamua kuwa imara kutokana na mkwara aliopigwa...
MILIONI 200 ZAWEKWA MEZANI KWA YANGA KUIUA SIMBA MACHI 8 TAIFA
UONGOZI wa Yanga na mdhamini GSM wameahidi kutoa Sh milioni 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watashinda mechi yao dhidi ya Simba Jumapili, Machi...
MBELGIJI WA SIMBA AWATAKA WACHEZAJI WAKE KUWAPA BURUDANI MASHABIKI MACHI 8, TAIFA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili, Machi 8, Uwanja wa Taifa dhidi ya Yanga wachezaji wake lazima...
YANGA YATAJA MBINU ITAKAYOIMALIZA SIMBA MACHI 8 TAIFA
CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa mbinu iliyowashangaza wengi Januari 4, Uwanja wa Taifa itatumika pia baada ya dakika 90 kwenye mchezo...
NDANDA YAKUTANA NA RUNGU LA TFF NAMNA HII
Timu ya Ndanda FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuingia uwanjani kwa kupitia mlango usio rasmi na...