Habari za Michezo

ZAHERA AIBUA JINGINE LILILOKUWA LIMEFICHIKA BAINA YAKE NA YANGA

0
Kocha wa zamani ya klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera ameeleza sababu nyingine iliyopelekea kuachana na timu hiyo kuwa ni ujio wa kocha Charles Boniface...

ISHU YA KUPIGWA FAINI NA BODI YA LIGI, UONGOZI YANGA WAJA NA TAMKO LINGINE...

0
Uongozi wa klabu ya Yanga umeendelea kusisitiza kuwa unasubiri barua rasmi ya adhabu iliyotolewa na Kamati ya Uendeshaji wa Ligi kufuatia madai ya utovu...

SIMBA NA BARCELONA ZAONGOZA KWA WAFUASI

0
Mtandao unaojihusisha na masuala ya data na fursa za kimtandao kwa wanamichezo, vilabu na mashirikisho wa 'Result Sports' wenye makao makuu mjini Büdingen nchini...

BAADA YA SAMATTA KUTUAA ENGLAND, MTANZANIA MWINGINE ATUA UFARANSA

0
Kinda wa Azam FC U-20 na Ngorongoro Heroes, Tepsi Evance Theonasy kutoka Cambiasso Sports amewasili Ufaransa katika Club ya FC Nantes kwa ajili ya...

RASMI, SAMATTA AANZA MAZOEZI ASTON VILLA AKIANDIKA REKODI

0
Mshambuliaji mpya wa Aston Villa, Mbwana Samatta ameanza rasmi mazoezi na kikosi chake kipya.Samatta ameanza mazoezi na kuandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza...

SIRI YA AZAM FC KUIPIGA MWADUI HII HAPA

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kikubwa kilichowapa ushindi jana mbele ya Mwadui FC ni kujituma kwa wachezaji.Azam FC jana ilishinda bao 1-0 mbele...

MBELGIJI WA SIMBA ATEGUA MTEGO WAKE KIMTINDO

0
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ametugua  mtego wa dakika 180 kwa mechi mbili za kanda ya ziwa.Simba imecheza mechi mbili ambazo ni sawa...

AZAM FC BADO WANALITAKA KOMBE HILI LILILOPO MIKONONI MWAO

0
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa kazi kubwa nyingine iliyopo mkononi mwao ni kutetea taji lao la Kombe la Shirikisho ambalo...

MASHUJAA WAPANIA KUONYESHA USHUJAA WAKIPANDA LIGI

0
ATUNGO Manyundo, Kocha Mkuu wa Mashujaa FC ya Kigoma amesema kuwa wataonyesha ushujaa mkubwa endapo watapanda ligi kuu msimu ujao. Mashujaa FC ilionyesha ushujaa mbele...

NAMUNGO WAIPIGIA HESABU NDEFU MBAO FC

0
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa unarejea kwenye uwanja wao wa nyumbani, Majaliwa maarufu kuiandalia dozi Mbao FC kwenye mchezo wao wa...