DE BRUYNE WA MANCHESTER CITY HATIHATI KUKOSA MANCHESTER UNITED
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City ametoa tamko ambalo linaonyesha dalili kuwa kuna uwezekano mdogo wa nyota wake Kevin De Bruyne kuanza mechi...
FLOYD MYWEAATHER ATAKA KUMFUNDISHA NGUMI WILDER AKAMNYOOSHE FURY
BONDIA mstaafu wa ngumi, Floyd Myweather amesema kuwa Deontay Wilder anaweza kumpiga Tyson Fury katika pambano lao la marudiano iwapo atakubali kufundishwa naye kuelekea...
HESABU ZA SIMBA KWA YANGA ZIPO NAMNA HII KESHO
PASCAL Wawa beki wa Simba amesema kuwa wanapiga hesabu kubwa kuona namna gani watashinda mchezo wao mbele ya Yanga utakaochezwa Machi 8,2020, kesho Jumapili...
MTIBWA SUGAR: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa leo utambana mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Gairo, Morogoro.Akizungumza na...
HAPA NDIPO YANGA ILIPOIPOTEZA SIMBA JUMLAJUMLA
KWENYE misimu 11 ya hivi karibuni ambapo Yanga na Simba wamekutana Yanga inashikilia rekodi ya kupindua meza kibabe. mechi 23 walizokutana Yanga imeshinda mechi sita,...
KOCHA : KUIZUIA SIMBA KWA SASA KAZI IPO
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa inahitaji umakini mkubwa kwa Yanga kuizuia Simba kutwaa ubingwa kutokana na kasi waliyonayo kwa sasa.Thiery...
YANGA: HATUNA HOFU, TUPO TAYARI KUICHAPA SIMBA
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wao wa kesho, Machi 8 dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa Taifa kutokana na mipango...
CIOABA NA MINZIRO KWENYE MTIHANI MWINGINE LEO TAIFA
AZAM FC, iliyo chini ya Arstica Ciaoba, leo ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Alliance kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa...
SPURS YAHAHA KUMBAKIZA KANE NDANI YA KIKOSI
HARRY Kane nyota wa timu ya Spurs inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kusepa ndani ya klabu hiyo kwenye majira ya joto.Mabosi wa timu...
SIMBA: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA
BEKI Kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa wanapiga hesabu kubwa kuona namna gani watashinda mchezo wao mbele ya Yanga utakaochezwa Machi 8,2020 Uwanja...