ARUSHA FC YAIPIGIA HESABU KALI GIPCO
UONGOZI wa Arusha FC, AFC umetamba kuwa kikosi chao kimejipanga kuibuka na ushindi mbele ya Gipco kwenye mchezo wao ambao watacheza Jumamosi ijayo.Ofisa Habari...
YANGA YAIPIGA MKWARA MZITO SIMBA, YAWAITA MASHABIKI KWA MTINDO HUU
NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul amesema kuwa wamekubaliana kuendeleza vita ya kuuwinda ubingwa mpaka tone la mwisho kutokana na morali waliyonayo wachezaji huku...
POLISI TANZANIA WATAJA SABABU YA KUKAZA NDANI YA LIGI KUU BARA
MARCEL Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kinachowafanya wapambane msimu huu dani ya Ligi Kuu Bara ni kutokana na ugumu wa ligi.Kaheza amefunga...
MAKOCHA LIGI KUU BARA: SIMBA WAPEWE KOMBE LAO, KASI YAO NI NOMA
Makocha wa Biashara United na Namungo wamekiri kwamba kwa kasi hii ya Simba msimu huu, ni vigumu kuwazuia kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania...
KOCHA EVERTON ATAJA SABABU YA KUFUNGWA NA ARSENAL
CARLO Ancelotti, Kocha Mkuu wa Everton amesema kuwa kilichowaponza wachezaji wake kupoteza mchezo wao mbele ya Arsenal ni papara na kushindwa kulinda bao lao...
HIZI HAPA DAKIKA 180 ZA MOTO KWA YANGA NA SIMBA KABLA YA MACHI 8
KUELEKEA kwenye mchezo wa watani wa jadi unaotarajiwa kuchezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa wababe hao wamebakiza dakika 180 kabla ya kukutana kwenye mchezo...
SIMBA YAWEKA REKODI HII BONGO, YAIACHA YANGA KWA POINTI 21
SIMBA imeweka rekodi yake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuwa ni timu yenye mabao mengi kuliko zote kwa sasa huku ikiwapoteza kwa mbali...
UNAIONA FILAMU YA KIFO CHA SINGIDA UNITED ILIVYOANDALIWA NA SASA NI WAKATI MWAFAKA WA...
Na Saleh AllyKABLA ya mechi ya jana dhidi ya Alliance, Singida United ilikuwa na pointi 11 mkiani mwa Ligi Kuu Bara na huenda ikabaki...
AZAM FC WAIBUKIA HUKU KWA SASA WAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI WAO
UONGOZI wa Azam FC umewaomba mashabiki waendelee kuipa sapoti kila wakati bila kukoma licha ya kupitia kipindi cha mpito. Azam FC ipo nafasi ya...