MZUNGU: HAKIKA FALCAO NI MASHINE NYINGINE
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa uwepo wa David Molinga ndani ya Yanga ni moja ya silaha kwake itakayompa ushindi kwenye mechi...
MANCHESTER CITY YAFUNGIWA MIAKA MIWILI KUSHIRIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA
TIMU ya Manchester City imefungiwa miaka miwili kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa UEFA na Shirikisho la Soka Barani Ulaya.Hatua hiyo imekuja kutokana na...
SIMBA YAITUPA MBALI YANGA UBORA WA SOKA AFRIKA
Ubora wa nafasi za klabu hapa Afrika1. Esperance de Tunis πΉπ³2. Wydad AC π²π¦3. TP Mazembe π¨π©4. Al Ahly πͺπ¬5. Mamelody Sundowns πΏπ¦6. Etoile...
HESABU ZA MZUNGU WA SIMBA KWA LIPULI LEO HIZI HAPA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wapo tayari kupambana na Lipuli kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Samora ,Iringa dhidi...
VITA YA MZUNGU NA MZAWA LEO UHURU NI BALAA
SAFU ya ushambuliaji wa Azam FC iliyo chini ya Obrey Chirwa mwenye mabao saba imeipoteza safu ya Coastal Union inayoongozwa na Ayoub Lyanga mwenye...
MHILU ATUMA UJUMBE HUU WA KWA MEDDIE KAGERE
YUSUPH Mhilu, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Kagera Sugar amehusika kwenye mabao 9 kati ya 28, akifunga saba na kutoa pasi mbili...
PRISONS WAPANIA KULIPA KISASI KWA YANGA LEO TAIFA
ADOLF Rishard, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, amesema kuwa leo watapambana mbele ya Yanga ili kulipa kisasi cha kuondolewa kwenye reli ndani ya Ligi...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
SHIKALO APOTEZWA YANGA, DAKIKA ZATAJWA
KITENDO cha kipa wa Yanga, Metacha Mnata kuanza katika mechi sita mfululizo za Ligi Kuu Bara ambazo ni sawa na dakika 540, kinachukuliwa kama...
KOCHA YANGA AFICHUA TIMU YAKE INAPOBORONGA – VIDEO
Kocha Msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa, ameibuka na kueleza mambo kadhaa kuhusiana na timu yake.