NDANDA V MBAO LEO HAPATOSHI NANGWANDA

0
LEO Uwanja wa Nangwanda Sijaona kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya Ndanda FC dhidi ya Mbao FC ya Mwanza.Mechi ya leo...

HIVI NDIVYO IBRAHIM AJIBU ALIYOIOKOA SIMBA USIKU MBELE YA POLISI TANZANIA

0
IBRAHIM Ajibu, Kiungo mshambuliaji wa Simba jana Uwanja wa Taifa aliiokoa Simba usiku mikononi mwa Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wakati...

KAGERA SUGAR YAWAITA MASHABIKI KAITABA, YAZITAKA POINTI TATU ZA MWADUI

0
UONGOZI wa Kagera umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi leo Uwanja wa Kaitaba kushuhudia burudan mbele ya Mwadui FC saa 10:00.Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha...

MOLINGA APOTEZWA JUMLAJUMLA KWA MABAO NA KIUNGO HUYU WA SIMBA

0
HASSAN Dilunga, Kiungo mshambuliaji ambaye ni mzawa amempoteza mshambuliaji namba moja wa Yanga, David Molinga raia wa Congo kwenye mechi nne za mwezi Januari...

TANZANIA PRISONS KUINGIA KWA TAHADHARI MBELE YA AZAM FC

0
ADOLF Rishard, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa ataigia kwa tahadhari mbele ya Azam FC kwenye mchezo wao wa leo, Februari 5, wa...

MBELGIJI WA YANGA KWENYE MTIHANI MWINGINE MGUMU LEO

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga, raia wa Ubelgiji leo atakabiliwa na mtihani wake wa sita ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza na...

KOCHA SIMBA AELEZA KINACHOMSUMBUA KUHUSIANA NA SAFU YA USHAMBULIAJI

0
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa bado anasumbuliwa na tatizo la safu ya ushambuliaji kushindwa kumalizia nafasi wanazotengeneza pamoja na safu ya...

AZAM FC YATUMA UJUMBE HUU KWA TANZANIA PRISONS

0
AZAM FC, leo  Februari,5 itakuwa Uwanja wa Taifa saa 10:00 Jioni kumenyana na Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu Bara.Februari,2 ilianza kwa sare ya...

MNAOCHIPUKIA MSIZIPE NAFASI PROPAGANDA ZA HUMUD WA MTIBWA SUGAR

0
Na Saleh AllyTUMEKUWA na kawaida ya kubadilisha uchukuliaji wa mambo. Yale ya kawaida tukayapa uzito sana na mazito tukayachukulia kuwa mepesi tu, nafikiri ni...

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUNGA BAO LA KUOTEA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wale ambao wanalalamika kwamba wamefunga bao la kuotea waripoti taarifa hiyo kituo cha Polisi wakiwa na maelezo kamili.Ofisa...