NDAYIRAGIJE WA KMC AMPOTEZA MBELGIJI WA SIMBA

0
KOCHA Mkuu wa KMC, Ettiene Ndayiragije amebeba tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu Bara  kwa mwezi Mei.Ndayiragije ameongoza kikosi chake cha KMC kumaliza...

HAWA HAPA 11 WANATAJWA KUVAA JEZI YA SIMBA MSIMU UJAO

0
IMEELEZWA kuwa kikosi cha Simba kinafanya kazi ya usajili kimyakimya ambapo mpaka sasa hakijatangaza mchezaji hata mmoja ambaye amesajiliwa hata kwa mkataba wa awali.Habari...

BARCELONA KUIPASUA MANCHESTER UNITED WAKIIKOSA SAINI YA GRIEZMANN

0
IMEELEZWA kuwa, Marcus Rashford atakuwa mbadala ndani ya kikosi cha Barcelona iwapo watafeli kuipata saini ya Antoine Griezmann ama Neymar Jr.Barcelona kwa sasa wanaangalia namna ya...

WACCHEZAJI WA TAIFA STARS WATAOKWEA PIPA KUELEKEA MISRI HAWA HAPA

0
Kikosi cha Taida Stars kinachoondoka leo kuelekea Misri kwa ajili ya michuano ya AFCON 2019Kikosi cha Taifa Stars kinachoondoka kinaundwa na makipa; Aishi Manula...

YANGA WAIPIGIA HESABU CECAFA

0
Wakati Simba wakiyatosa mashindano hayo, uongozi wa Yanga umethibitisha kupokea barua ya mwaliko wa kushiriki michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya vilabu katika ukanda...

NYOTA HAWA SABA WAPIGWA CHINI TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

0
TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajiwa kuanza safari leo kuelekea nchini Misri ambako itaweka kambi kwa ajili ya michuano ya Afcon ambayo...

KOCHA WA KMC ANASUBIRI MASAA TU KWA SASA KUTIMKIA AZAM FC

0
IMEELEZWA kuwa tayari uongozi wa Azam FC umefikia hatua nzuri ya mazungumzo na kocha wa KMC, Etienne Ndayiragije kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho hivyo anahesabiwa...

RASMI SIMBA YAJIONDOA MICHUANO YA KAGAME

0
Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC wamejitoa kwenye michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kuanza kutimua vumbi Julai mwaka huu nchini Rwanda. Akizungumza na Saleh...

BEKI WA ZAHERA YANGA MGUU NJE MGUU NDANI

0
BEKI wa Yanga, Paul Godfery 'Boxer' kipenzi cha Mwinyi Zahera kwa sasa haelewi chochote kinachoendelea juu yake msimu ujao kutokana na kutopewa taarifa zozote...