MANE WA LIVERPOOL AIBUKIA YANGA KWA MTINDO HUU

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa tabia ya kuchezea mpira na chenga za maudhi zinazofanywa na Bernard Morrisson raia wa Ghana, hafurahishwi...

MBAYA WA YANGA NA KABWILI SIMBA AENDELEA KUWEKA REKODI

0
UBORA anaoendelea kuuonyesha mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, katika kupachika mabao umefunika uwezo wa klabu za Singida United na Ndanda FC.Kagere ndiye kinara wa...

WALICHOKIAHIDI MTIBWA KWA YANGA NI MAUMIVU

0
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga hawana presha nao kwa kuwa wamejipanga kuwachapa mapema...

TFF YAWAKA JUU YA RATIBA LIGI KUU, YAITAJA YANGA

0
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhusiana na upotoshwaji wa Ratiba ya Ligi Kuu Bara kwa mechi za Yanga.

NYOTA HUYU NOMA NDANI YA BONGO, KAWATUNGUA MAKIPA WOTE TEGEMEO WA SIMBA

0
GERALD Mdamu, mshambuliaji wa Mwadui FC amekuwa ni mwiba kwa makipa wote wa kikosi cha kwanza cha Simba kwa kuwatungua wote mabao kila wanapokutana...

KUMBE HICHI NDICHO WALICHOKUWA WANAJIVUNIA SIMBA KUSHINDA MBELE YA NAMUNGO, POINTI 16 MLIMA KWA...

0
ACHANA na idadi ya mabao ambayo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara waliyapata  mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa...

KIVULI CHA YANGA CHAKWEPA NA TANZANIA PRISONS, SASA KUHAMIA DODOMA

0
TIMU ya Tanzania Prisons ya Mbeya imeamua kukimbia kivuli cha Yanga kilichokuwa inaitesa timu hiyo kwa kushindwa kupata matokeo chanya Uwanja wa Samora waliokuwa...

MBWANA SAMATTA AKOSA CHA KUWAAMBIA MASHABIKI

0
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya Aston Villa amesema kuwa hana cha kuwaambia mashabiki wa Tanzania zaidi ya...

KOCHA YANGA AKIWASHA TENA, AWAMU HII NI JUU YA WACHEZAJI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kuna tatizo linaloimaliza safu ya ulinzi taratibu na inahitaji kutafutiwa dawa mapema.Yanga ikiwa imecheza jumla ya...

NABII ATAKA BILIONI 115 AMFUFUE KOBE, ISHU NZIMA IMEKAA NAMNA HII

0
WAKATI dunia ikiendelea kuomboleza kifo cha nyota wa mpira wa kikapu wa Marekani, Kobe Bryant, bintiye Gianna pamoja na watu wengine saba, nabii mmoja...