SVEN AFUNGUKA JUU YA SUALA LA UMOJA SIMBA

0
KOCHA wa Simba Sven Vandenbroeck amewasisitiza wachezaji wake kucheza kwa umoja ili kuendelea kupata ushindi utakaorudisha furaha kwa mashabiki na kutimiza malengo ya kutetea...

BAADA YA KUONYWA NA KOCHA WAKE JUU YA MBWEMBWE, MORRISON AAMUA KUFUNGUKA

0
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison amesema anapofanya mbwembwe uwanjani halengi kuwadhihaki timu pinzani bali ni mahsusi kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki ambao...

HAJI MANARA AWACHOKOZA TENA YANGA ‘AWAMU HII KILA MTU NA MSALABA WAKE’

0
Alichokiandika Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram juu ya watani zake Yanga kuhusiana na uwakilishi katika mashindano ya kimataifa.

TAMKO LA YANGA JUU YA SUALA LA KABWILI KUPEWA IST NA SIMBA

0
KLABU ya Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Hassan Bumbuli imekiri kuwa taratibu haziwaruhusu wachezaji kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu masuala ya ndani...

RASMI YANGA WAFUATA NYAYO ZA SIMBA

0
Mwenyekiti wa timu ya Yanga anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura wa wanachma wa Klabu utakaofanyika Jumapili 16/02/2020 kuanzia...

MORRISON AZIDI KUWA HABARI NYINGINE

0
Nahodha msaidizi wa Yanga, Juma Abdul, amesema kuwa uwezo alionao kiungo mshambuliaji, Bernard Morrison, raia wa Ghana, ni habari nyingine kwani ana vitu vingi...

TAMKO JINGINE LA KOCHA YANGA JUU YA MORRISON, INAONESHA AMEKERWA

0
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael amesema hapendi kuona mchezaji wake, kiungo Bernard Morrison akiwadhalilisha wapinzani wake kwa staili yake ya uchezaji.Kauli...
Habari za Simba

ISHU YA IST YA KABWILI, SIMBA WAITAJA TFF

0
Hii hapa ni taarifa ya Simba kuhusiana na tamko la Ramadhan Kabwili juu ya kupewa IST na viongozi wa klabu ya Simba. Moja ya...

SAMATTA KUANZA KUONYESHA MAKEKE YAKE LEO KWA MARA YA KWANZA

0
MBWANA Samatta aingia Jumla kwenye kikosi cha kwanza, leo kuanza kuonyesha makeke dhidi ya Leicester City, mchezo wa Kombe la Carabao.

SASA MAMBO KWA ULIMWENGU NI SAFI NDANI YA TP MAZEMBE, KESHO KUTAMBULISHWA RASMI

0
THOMAS Ulimwengu, mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya JS Saura ya Algeria yupo kwenye hatua za mwisho kutambulishwa...