KINDOKI AMCHAMBUA MORRISON, AMTAJA HAJI MANARA KWA NAMNA HII – VIDEO

0
Shabiki na Mwanachama Kindakindaki wa Yanga Jimmy Kindoki amesema kuwa Bernard Morrison ni mchezaji mzuri ambaye amekuja kufanya makubwa katika klabu ya Yanga ikiwemo...

SAMATTA AMUIBUIA KOCHA YANGA

0
KOCHA wa zamani wa timu ya Taifa (Taifa Stars) na Yanga, Marcio Maximo amesema kuwa Tanzania ina wachezaji wengi wenye vipaji kama Mbwana Samatta,...

KOCHA SIMBA AWAVAA WACHEZAJI

0
Kocha wa klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck, amesema hajaridhishwa na uwezo wa safu yake ya ulizi baada ya mechi ya Kombe la FA dhidi...

MCHEZAJI YANGA: ALICHOKIFANYA MORRISON NI DHIHAKA, HAIRUHUSIWI – VIDEO

0
Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Mayay Tembele amefunguka kuhusiana na mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison.

KOCHA SIMBA AFUNGUKA KIVINGINE KUHUSIANA NA CHANGAMOTO LIGI KUU BARA

0
MBELGIJI Sven Vanderboeck ambaye ndiye bosi mkuu wa benchi la ufundi la Simba, ametanabaisha kuwa licha ya kwamba wapo kileleni mwa msimamo wa ligi,...

WALIOFARIKI AJALI YA KOBE WAZIDI KUONGEZEKA, MAWASILIANO YANASWA

0
TAARIFA za vyombo vya usalama nchini Marekani zinasema kuwa waliofariki mpaka jana  katika ajali ya helikopta iliyotokea jana huko Los Angeles, Marekani, ni  Kobe...

AZAM FC HAO HATUA YA 16, WAICHAPA IHEFU MABAO 3-1

0
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC leo wamepenya hatua ya 32 bora na kuibukia hatua ya 16 bora kwenye michuano ya kombe...

MLINDA MLANGO WA YANGA ADAI ALIAHIDIWA IST NA SIMBA ILI ASICHEZE MECHI

0
 RAMADHAN Kabwili, mlinda mlango namba tatu wa Yanga amesema kuwa kuna viongozi ambao amedai kuwa walikuwa ni wa Simba walimfuata na kutaka kumpa gari...

WAAMUZI WAFUATE SHERIA 17 ZA SOKA, MWENDO WA KUSUASUA UNAPOTEZA UBORA WA LIGI

0
MIONGONI mwa sababu ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kulifanya soka letu lizidi kudidimia kila kuchao.Wiki kadhaa nyuma niliandika makala kuhusu baadhi ya waamuzi kuchezesha...