KINACHOCHELEWESHA MBWANA SAMATTA KUTAMBULISHWA ASTON VILLA
USAJILI wa Mbwana Samatta kwenda Aston Villa katika timu ambayo inashika nafasi ya 18 kabla ya mechi yao ya juzi Jumamosi, unaweza kuwa sahihi...
DIAMOND NA ALIKIBA WAUNGANA, WAFANYA MAKUBWA – VIDEO
Mahasimu wa muda mrefu katika mziki wa Bongo Nasib Abdul na Ali Kiba kwa pamoja wameungana kufanya matukio makubwa
TAFRANI YAPAMBA VITA YA DIAMOND NA HARMONIZE, MATUSI YATAWALA – VIDEO
Omary Mwanga maarufu kama MARIO amewaingiza vitani Diamond na Harmonize na kufanya mtifuano mkali katika mitandao ya kijamii.Pande zote mbili zimeonesha nia ya kumtaka...
WATANZANIA WALIZWA NA DILI LA SAMATTA, WASHANGAZWA NA ASTON VILLA
Ni takribani siku ya tano sasa tangu zilipoibuka tetesi juu ya mshambuliaji wa Genk na timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta...
YANGA YAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA
Kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' ameibuka na kusema kuwa Kocha mpya waliyemsajili Yanga, Luc Eymael, anaweza akaipeleka pabaya timu...
NYOTA YANGA ATUMA MAOMBI YA UVUMILIVU
BEKI ya Yanga, Juma Abdul amewataka wanachama wa klabu hiyo kutulia na kutokatishwa tamaa na matokeo wanayoyapata uwanjani kwa kuwa ndiyo kwanza timu hiyo...
KIONGOZI SIMBA ATOA TAMKO KALI JUU YA KOCHA YANGA KUZUNGUMZIA UBAGUZI
Kufuatia Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael kueleza alibaguliwa na Mwamuzi, Hance Mabena, katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam, Ofisa Habari...
ISHU YA HARMONIZE NA UBUNGE YASABABISHA AWEKWE KIKAANGONI, KILICHOAMULIWA NI HIKI
DAR: Wakati wimbi la wasanii kujitosa kwenye siasa likiendelea, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ huenda akakwaa kisiki baada ya uongozi wa Chama...
SIMBA YATUA DAR, KOCHA ATOA LAKE KWA WACHEZAJI
KIKOSI cha Simba kimerejea leo Dar kikitokea mkoani Mwanza ambako kilikuwa na mechi mbli za Ligi Kuu Bara.Simba ilicheza na Mbao FC na ilishinda...