WALIOPIGWA MBILI NA SIMBA WASAJILI WAPYA SITA

0
UONGOZI wa Mbao FC umefanikiwa kusajili wachezaji sita katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo lililofungwa juzi usiku.Akizungumza jana, Mwenyekiti wa timu hiyo,...

BOCCO ASHINDWA KUJIZUIA, AAMUA KULIIBUA TENA SUALA LA MAPINDUZI

0
Nahodha na mshambuliaji wa Simba, John Raphael Bocco amesema kuwa haikuwa bahati yao kulichukua Kombe la Mapinduzi huku akiwataka mashabiki wa timu hiyo kuendelea...

BAADA YA KUKATALIWA YANGA KISA UBORA, KINACHOENDELEA KATI YA KOTEI NA KAIZER HIKI HAPA

0
Kiungo mkabaji wa zamani wa Simba, James Kotei, amethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na klabu yake ya Kaizer Chiefs inayoshiriki Ligi Kuu ya...
Mashabiki Yanga

YANGA WATOKWA NA MACHOZI, INATIA HURUMA – VIDEO

0
Baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 juzi dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,...

BAADA YA NAFASI KUCHUKUA MZUNGU, MKWASA AFUNGUKA JUU YA HATMA YAKE NA YANGA

0
Aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, amesema kuwa hajui hatima yake ndani ya klabu hiyo mara baada ya ujio wa kocha mpya...

SOMO LA KATUMBI KWA MO DEWJI JUU YA UWEKEZAJI

0
Mwenyekiti wa Klabu ta TP Mazembe ya DR Congo, Moses Katumbi, ameibuka na kumfunda Bilionea mwenzake, Mohamed  Dewji ‘Mo’ ili ajue miko ya kuwa...

BAADA YA KUMALIZANA NA ASTON VILLA, SAMATTA KUFANYIWA VIPIMO KESHO

0
Klabu ya Aston Villa ya England, imekubaliana kila kitu na mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta.Samatta ni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania...
Mbwana Samatta

ASTON VILLA TAYARI KWA SAMATTA, YAKUBALI KUMWAGA KITITA CHA PAUNI MILIONI 10

0
Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta amefikia makubaliano na klabu ya Aston Villa ya England.Samatta anatarajia kujiunga na Aston Villa ambayo inashiriki Ligi Kuu...

SIMBA BABA LAOO, YAIPIGA MBAO, YAIACHA YANGA KWA POINTI 13 SASA

0
HASSAN Dilunga 'HD' alianza kupeleka maumivu kwa wapinzani wao leo Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba kwa...

LIGI KUU BARA: MBAO 0-0 SIMBA

0
Kipindi cha Kwanza: Mbao 0-0 SimbaUwanja wa CCM KirumbaMchezo unaoendelea kwa sasa Uwanja wa CCM Kirumba ni kati ya Mbao FC na Simba kipindi...