MANARA AZIDI KUUMIWA NA MTIBWA SUGAR, AFUNGUKA MENGINE MAZITO KUHUSIANA NA SIMBA

0
Wanasimba wenzangu!!Najua maumivu mliyopitia jana na nnafahamu karaha mnazopata toka kwa watani zetu, lakini niwaambie kitu kimoja, hili kwetu ni funzo, ni funzo kwa...

ALIYEELEZWA KUHITAJIKA YANGA APIGWA CHINI KENYA

0
KOCHA wa Bandari FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya, Bernard Mwalala ameondoka katika klabu hiyo baada ya matokeo mabaya kufuatia kipigo cha mabao 2-1...

ROONEY ATOKA KIFUNGONI

0
WAYNE Rooney juzi alionekana akiendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka miwili, kwa kuwa alikuwa amefungiwa kuendesha.Rooney ambaye sasa ni kocha...

WINGA SIMBA ATUA YANGA KWA MILIONI 30

0
WINGA wa zamani wa Simba, Shiza Kichuya, amekubali kusaini mkataba wa kukipiga Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu wa Ligi Kuu Bara.Kichuya...

KUMBE! SARE YA KUFUNGANA MABAO 2-2 INAWAUMIZA YANGA, MILIONI 150 ZILIZOYEYUKA ZINAWAUMA KINOMA

0
IMEELEZWA kuwa sare ya mabao 2-2 waliyoipata Yanga inawaumiza kutokana na kupoteza mkwanja mrefu ambao ulikuwa mezani.Januari 4,2020 Yanga ilikaribishwa na Simba kwenye mchezo...

SIMBA YATAJA KILICHOWAPONZA KUSHINDWA KUTWAA MAPINDUZI, WAJA NA OMBI HILI

0
JOHN Bocco, nahodha wa timu ya Simba amesema kuwa haikuwa bahati yao kushinda kombe la Mapinduzi mbele ya Mtibwa Sugar.Simba ilitinga hatua ya fainali...

KAGERA SUGAR: TUTAPAMBANA KESHO KUPATA POINTI TATU ZA YANGA

0
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa watapambana kesho mbele ya Yanga uwanja wa Uhuru kupata matokeo mazuri.Kagera Sugar itakutana na Yanga...

MTIBWA SUGAR: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA

0
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa watapambana kesho mbele ya Yanga kupata matokeo mazuri.Kagera Sugar itakutana na Yanga ikiwa na kumbukumbu...

SITA WAPIGWA CHINI JUMLA NDANI YA KMC

0
IMEELEZWA kuwa Uongozi wa timu ya KMC umefikia makubaliano ya kusitisha mikataba na wachezaji watano ndani ya kikosi hicho.Wachezaji hao ni Aaron Lulambo, George...

MRITHI WA MAYANJA NDANI YA KMC HUYU HAPA, AANZA KAZI

0
 HARUNA Harerimana ameingia mkataba na KMC kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo kwa kandarasi ya mwaka mmoja na miezi nane. Harerimana anachukua nafasi ya kocha...