DUH! KUMBE LUGHA TATIZO KUBWA KWA VIFUAVIWILI

0
BRUNO Tarimo ‘Vifuaviwili’ bondia wa ngumi za kulipwa ambaye ni  bingwa wa International Super Feather Weight ambao ameupaata hivi karibuni nchini Serbia kwa kumtwanga...

KASEJA TUNAMSIFIA LAKINI TUKUMBUKE TULIPOMTENGA ILI TUSIRUDIE KWA WENGINE

0
NA SALEH ALLYKAMA itakuwa ni ishu ya maswali basi tutasema mjadala umefungwa kwa kuwa hakuna cha kuuliza tena.Pamoja na hivyo unaweza kujiuliza namna gani...

MASHABIKI WAISHAMBULIA NYUMBA YA NAHODHA TIMU YA TAIFA

0
Mashabiki jijini Free Town wamevamia na kushambulia kwa mawe nyumba ya Nahodha wa Timu ya soka ya nchi hiyo, Umaru Bangura.Mashabiki hao walifanya hivyo...

BODI YA LIGI YAZIDI KUWAPA WAKATI MGUMU YANGA, WAMBURA AFUNGUKA – VIDEO

0
Alichokizungumza Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi (TPLB), Boniface Wambura kuhusiana na suala la kanuni za mavazi kwa haswa ikimlenga Kocha Mwinyi Zahera.

NINJA AKUTANA NA ZLATAN LA GALAXY

0
Beki wa zamani wa Yanga na sasa LA Galaxy II, Abdallah Shaibu 'Ninja' akiwa na straika hatari wa LA Galaxy ya Marekani, Zlatan Ibrahimovic...

WAZIRI KIGWANGALLA ATANGAZA KUJIVUA UANACHAMA

0
Waziri wa Maliasili na Utalii Hamisi Kigwangalla, ametangaza kujiondoa kwenye uanachama wa Chama cha Mabaharia na kueleza tangu mwanzo kulikuwa na kusudio la kumvua...

JUMA MAHADHI AIBUKA UPYA YANGA, AZUNGUMZIA USAJILI NA HATMA YAKE

0
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi ameibuka na kudai kuwa yeye bado ni mchezaji wa Yanga na hivi karibuni atarejea kikosini kwa ajili ya...

USAJILI MPYA SIMBA KUFANYIKA KISOMI, BOSS MPYA AZUNGUMZA

0
Ofisa Mtendaji Mkuu mpya wa Simba, Senzo Mazingiza raia wa Afrika Kusini, ameweka wazi kuwa atahakikisha klabu hiyo inafanya usajili wa kisomi katika dirisha...

KAMA UNAMSEMA VIBAYA FALCAO HUYU HAPA ZAHERA AJA KIVINGINE

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amesema kuwa bao alilolifunga mshambuliaji wake David Molinga 'Falcao' litamuongezea hali ya kujiamini.Kauli hiyo aliitoa mara baada...

MAKONDA AMKABIDHI JUMA KASEJA MILIONI ZAKE 10 KAMA ALIVYOAHIDI

0
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo amemkabidhi Golikipa wa...