SHAHIDI AANIKA MAZITO KESI YA ALIYEKUWA RAIS SIMBA SC
SHAHIDI namba saba wa kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba, Evans Aveva na wenzake, Frank Mkilanya (45) ameieleza mahakama jinsi nyasi za Uwanja wa...
MUONEKAO WA UWANJA WA SIMBA WENYE NYASI ASILI BUNJU
Muonekano wa Uwanja wa nyasi asili wa klabu ya Simba unaojengwa huko Bunju jijini Dar es Salaam.
DAVID LUIZ AIONYA ARSENAL
Beki wa Arsenal, David Luiz amekiri kuwa safu ya ulinzi ya timu yao haipo vizuri ambapo wanatakiwa kurekebisha makosa yao kama wanataka kufanya vizuri...
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII KWA SASA
BAADA ya baadhi ya timu kucheza mchezo mmoja mmoja kwa sasa kwenye Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na Vodacom, msimamo wa ligi upo namna hii...
FURSA YATANGAZWA KWA WASIO NA KAZI YANGA
Uongozi wa timu ya Yanga umetangaza nafasi za kazi mbili ikiwemo ya Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten na Ofisa wa kuamasisha mashabiki wa...
MALINZI AOMBA KUNYWA SODA AKIJITETEA KISUTU
Aliyewahi kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, juzi Jumanne, aliendelea kujitetea kwa takribani saa tano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
KICHAPO CHA 1-0 KUTOKA RUVU CHAAMSHA MACHUNGU YANGA, UONGOZI WATOA TAMKO ZITO
Baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara jana, uongoz wa klabu ya...
LEBO ZA KIMATAIFA, KIBA ANAKWAMA WAPI?
Mwaka huu unaweza kuwa mwaka wa mafanikio makubwa kwa staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ baada ya kufanikiwa kufanya kolabo na staa...