METACHA ALIAMSHA DUDE YANGA
INAELEZWA kuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ameanza kupata wakati mgumu juu ya nani awe kipa namba moja kutokana na kiwango cha juu anachokionyeha...
HI NI NEEMA, MMOJA YANGA AMWAGIWA MIFEDHA
MSHAMBULIAJI wa Yanga raia wa Uganda, Juma Balinya Jumamosi iliyopita alioga noti kutoka kwa viongozi na mashabiki wa timu hiyo waishio Botswana na nchi...
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatano
WMBO WA DIAMOND PLATNUMZA WAPIGWA MARUFUKU KENYA
Wimbo Tetema wa Msanii Raymond Mwakyusa maarufu Rayvanny aliomshirikisha Diamond Platnumz umepigwa marufuku kupigwa katika maeneo ya wazi nchini Kenya.Mbali na Tetema, wimbo mwingine...
MCHEZAJI YANGA ATAJA MADHAIFU YA TIMU HIYO KUELEKEA MECHI NA ZESCO, AONYA
Aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga, Ally Mayay Tembele, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera, kuhakikisha inafanyia kazi...
NADO ATUPIA KAMBANI AZAM IKIITWANGA KMC 1-0 UWANJA WA UHURU
Azam FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC, mechi ikichezwa kunako Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo...
WASHINDI WA MILIONI 825 ZA JACKPOT BONUS SPORTPESA WAELEZEA WALIVYOZIPATA
WASHINDI wawili wa Shilingi 825, 913, 640 za Jackpot Bonus ya SportPesa jana waliwasili jijini Dar es Salaam na kukabidhiwa mamilioni yao huku wakifungukia...