MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
STAA MPYA YANGA YAMKUTA MAKUBWA, ISHU YA SAUZI IPO LAIVU NI KESHO NDANI YA...
KESHO Gazeti la Spoti Xtra Jumapili limesheheni Habari kamili kuhusu kambi ya Yanga Moro pamoja na ile ya Simba Sauzi
KUMEKUCHA SIMBA, MO AMALIZA UTATA MAZIMA
KAULI ya Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji leo imetoa ile hofu ya mashabiki kuhusu hatma yake ndani ya Simba.Baada ya Waziri wa Habari, Sanaa,...
SIBOMANA WA YANGA APANIA MAKUBWA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, aliyetupia tatu dhidi ya Moro Academy , Patrick Sibomana, amewaambia mashabiki kwamba ndiyo zake wala hakubahatisha wazisubiri nyingi Uwanja wa...
HAWA NDIO WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA
TOWNSHIP Rollers ni wapinzani wa Yanga kimataifa kwenye mchezo wa awali wa Ligi ya mabingwa unaotarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 9-11 nchini Botswana na...
HAWA NDIO WAPINZANI WA SIMBA KIMATAIFA HATUA YA AWALI
WAPINZANI wa Simba kwenye michuano ya Kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika klabu ya UD Songo, imeanzishwa mwaka 1982 na kampuni moja kubwa nchini...
VITA YA SIMBA KWENYE ENEO LA ULINZI YAACHWA KWA MBELGIJI
PASCAL Wawa,beki wa Simba amesema hana hofu na nafasi yake ndani ya kikosi hicho, kazi ni kwake kupambana kisha kocha Aussems ndiyo ataamua ampange...
SIMBA YALAZIMISHA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA
BAO la Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere dakika ya 58 kwenye mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Township Rollers lilidumu kwa muda wa dakika...
KIPA STARS ATAMBA KUWAZUIA WASHAMBULIAJI WA KENYA
JUMA Kaseja ametamba kuwazuia washambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya kwenye mechi ya kufuzu michuano ya CHAN itakayopigwa kesho, Julai 28 Uwanja wa...
KOCHA YANGA AMTAJA MLINDA MLANGO ATAKAYEANZA LANGONI
KOCHA wa makipa ndani ya Yanga, Peter Manyika amesema kuwa magolikipa wake wote wapo vizuri kwa ajili ya msimu ujao.Manyika kwa sasa ana makipa...