NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO
RUUD Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi ametembelea hifadhi za mali asili ya Tanzania.Kupitia...
MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI
MABINGWA wa Ligi Visiwani Zanzibar, KMKM nao wana kibarua cha kukwea pipa kimataifa. KMKM wataanzia nyumbani dhidi ya Deportivo do 1 Agosto ya Angola...
YANGA KIMATAIFA SAFARI YAO IMEKAA NAMNA HII
SAFARI ya Yanga kimataifa baada ya kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita wataanza na timu ya Township Rollers ya...
SABABU YA AZAM FC KUKOSA UBINGWA WA KAGAME HII HAPA
BRUCE Kangwa, beki wa timu ya Azam FC amesema kuwa kilichowaponza kushindwa kutetea kombe la Kagame ni kushindwa kutumia nafasi walizozipata kwa umakini.Azam FC...
SAFARI YA MABINGWA WA TPL SIMBA KIMATAIFA INAKWENDA NAMNA HII
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa msimu ujao wa 2019/20.Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepangwa...
SABABU YA KCCA KUNYAKUA UBINGWA WA KAGAME MIKONONI MWA AZAM FC YATAJWA
ALLAN Okello, mshambuliaji wa timu ya KCCA ya Uganda amesema kuwa kilichowapa ubingwa wa kombe la Kagame ni kucheza wakiwa timu.KCCA jana walitwaa ubingwa...
DU! MUSONYE WA CECAFA NI PASUA KICHWA KWELI KUSUSU SIMBA NA YANGA
NICHOLAUS Musonye, Katibu Mkuu wa CECAFA amesema kuwa Simba na Yanga hata kama wangeshiriki wasingepata kitu.Michuano ya Kagame imemalizika jana ambapo Azam FC ambao...
KMC KIMATAIFA USO KWA USO NA NYOTA WA SIMBA
TIMU ya KMC wana kino kwenye michuano ya Kimataifa ambayo wanashiriki msimu huu kwenye kombe la Shirikisho wao wanakwenda Rwanda.Mchezo wa kwanza utakuwa dhidi...
AZAM FC WAO KIMATAIFA RATIBA YAO IMEKAZA NAMNA HII
KUMEKUCHA kimatafa ambapo mabingwa wa kombe la Shirikisho Azam FC, itaenyana na Fasil Kenema ya Ethiopia kwenye raundi ya awali ya michuano ya Kombe...
HUYU NDIYE MBADALA WA LEROY SANE NDANI YA BAYERN MUNICH
Bayern Munich wanaangalia uwezekano wa kumtaka winga wa Kimataifa wa Ivory Coast na Crystal Palace, Wilfred Zaha (26) ili kuwa mbadala wa Leroy Sane...