SASA WAKATI WA KUONA TOFAUTI YA AJIBU GIRLFRIEND NA AJIBU HUSBAND
NA SALEH ALLYBAADA ya picha za video kusambaa mtandaoni zikimuonyesha Ibrahim Ajibu Migomba akiwa katika mazoezi ya gym, mjadala ukazuka kama ataweza kuvumilia kutokana...
LIVERPOOL YATHIBIITISHA SADIO MANE KUIKOSA MANCHESTER CITY
JURGEN Kloop, Meneja wa Liverpool amesema Sadio Mane ataukosa mchezo wa Ngao Jamii (Community Shield) dhidi ya Manchester City uwanja wa Wembley Agosti 4.Mane...
USAJILI WA WACHEZAJI WA NJE NI LAZIMA, LAKINI LAZIMA MUWE NA MIPANGO BORA KWA...
NA SALEH ALLYWAKATI huu ndio ule ambao gumzo zaidi ni kuhusiana na usajili wa wachezaji wapya ambao msimu ujao watakuwa na klabu zao kwa...
UNITED WAWEKEWA UGUMU KUMPATA NYOTA WA NEWCASTTLE UNITED
SEAN Longstaff nyota wa Newcasttle United ameingizwa kwenye rada za Manchester United kwa ajili ya msimu ujao huku ikielezwa kuwa kuna ugumu wa kumpata.Meneja...
GARETH BALE MBISHI KINOMA AIKOMALIA MADRID
GARETH Bale amemwambia Meneja wa Real Madrid, Zinedine Zidane kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikoisi hicho msimu ujao kuelekea China.Zidane amemwambia Bale...
CAF WASITISHA ISHU YA AS VITA KUTIA TIMU BONGO
IMEELEZWA kuwa Uongozi wa As Vita umesitisha mpango wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Yanga.Yanga ilipanga kucheza mchezo wa kirafiki siku ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
NYOTA SABA MATATA WAMPASUA KICHWA MBELGIJI WA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa mchezaji atakayeonyesha juhudi mazoezini ndiye atakayepewa kipaumbee kwenye kikosi cha kwanza.Simba imeweka kambi nchini Afrika Kusini...
MLINDA MLANGO MPYA WA YANGA KUTOKA KENYA ATIA TIMU BONGO
HATIMAYE, Farouk Shikalo mlinda mlango mpya wa kikosi cha mabingwa wa kihstoria, Yanga amewasili nchini Tanzania.Shikalo amewasili Dar akitokea nchini Kenya ambapo alikuwa kwa...
SIMBA: LAZIMA TUTUSUE KIMATAIFA
GADIEL Michael, beki wa kushoto wa Simba amesema hesabu zake ni kutamba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na kufika mbali zaidi ya robo fainali...