MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili.
TANZANITE KUMALIZANA NA ZAMBIA LEO COASAFA
TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' leo itakuwa kazini kumenyana na timu ya Taifa ya Wanawake ya Zambia.Tanzanite imealikwa kwenye...
JESHI LA KMC KIMATAIFA LEO HILI HAPA DHIDI YA AS KIGALI
KIKOSI cha KMC kitakachowavaa leo AS Kigali ya Haruna Niyonzima leo nchini Rwanda
KIKOSI CHA YANGA LEO KIMATAIFA
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Township Rollers
MOHAMED SALAH AFUNGUA AKAUNTI MPYA HUKO ENGLAND
MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool ameanza kwa kasi msimu mpya wa Ligi Kuu England 2019/20.Salah raia wa Misri anayekipiga pia kwenye timu ya Taifa...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA UD do SONGO
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya UD do Songo
YANGA WAIPA SAPOTI SIMBA KIMATAIFA, WAPANIA KUWAKALISHA ROLLERS LEO TAIFA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utatoa sapoti kwa timu zote ambazo zinashiriki michuano ya kimataifa Afrika inayoandaliwa na Caf ikiwa ni pamoja na Simba.Timu...
LUKAKU AMUACHIA JEZI MARTIAL NDANI YA UNITED
ANTONIO Martial nyota wa Manchester United amerejeshewa jezi yake ya zamani ambayo ni namba 9 iliyokuwa inavaliwa na Romelu Lukaku.Martial ambaye alisajiliwa ndani ya...
NIYONZIMA ATUMA UJUMBE KWA KMC LEO
HARUNA Niyonzima, kiungo myumbulifu ambaye amechezea timu za Simba na Yanga amesema kuwa leo kazi ni moja tu kutafuta ushindi mbele ya KMC.KMC leo...
LIPULI YATAJA INACHOKITAKA LIGI KUU MSIMU UJAO
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa msimu ujao hauna hesabu ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara wao hesabu zao ni kushika nafasi tano za...