YANGA, SIMBA, KMC AZAM FC WAPINZANI WENU NI VISIKI ILA WANAFUNGIKA
LEO Yanga itakuwa uwanja wa Taifa kumenyana na Township Rolers huku KMC wao wakiwa nchini Rwanda wakimenyana na AS Kigali na Simba nao Msumbiji...
HAWA NDIO UD SONGO WAPINZANI WA SIMBA KIMATAIFA, UKIWAPIGA MAPEMA WANAPOTEANA MAZIMA
UD Songo ya Msumbiji msimu uliopita walishiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa na kutupwa nje na Nkana FC ya Zambia ambayo nayo ilipigwa chini...
NYOTA SITA WA YANGA HAWA HAPA HATIHATI KUIKOSA TOWNSHIP ROLLERS LEO
LEO Yanga ipo kazini uwanja wa Taifa kumenyana na Township Rollers mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa.Kwenye mchezo wa leo nyota wake sita...
HIZI NDIZO SILAHA KUWA MBILI ZA WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA LEO
TOWNSHIP Rollers mabingwa wa Botswana leo watakuwa uwanja wa Taifa wakimenyana na Yanga mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.Rollers walimaliza Ligi na...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
TOWSHIP ROLLES WAPATA MCHECHETO KWA YANGA LEO
THOMAS Trucha, Kocha Mkuu wa Township Rollers amesema kuwa wapo tayari kwa ushindani wa leo mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya...
SIMBA : TUPO TAYARI KUPAMBANA LEO NA UD SONGO
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa leo watapambana kupata matokeo mbele ya UD do Songo utakaochezwa nchini Msumbiji.Simba jana ilikwea kwa dege...
YANGA LEO TUNAMALIZANA MAHESABU MAPEMA KWA TOWNSHIP ROLLERS
NOEL Mwandila, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mechi ya hatua ya kwanza ya klabu bingwa Afrika dhidi...